Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Mfano mimi huwa siwazi ndoa kabisa zaidi ya wanaume kuanza Hilo swala pia kupiga goti huja tu automatic mzee ukiwaona wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi sababu hatujuani kwa sura humu, lakin asilimia kubwa wanaume mnalia na magoti mmepiga,

Kulia sio jambo baya, wala sio dhambi. Kila mtu ana moyo wake wa kubeba jambo.
Wewe kama mgumu waache walio na moyo mepesi walie
Kinachopelekea wanaume kufa mapema ni kuficha hisia na kuto kuongea hii inafanya wafe mapema saana kuliko maelezo.
Kila mtu afanye kitu sahihi anacho kiona kwa wakati wake, tusipende kuwafanya watu wafanane na wewe .
Hata mapacha hawafanani

Kama ni heshima utapewa tu, shida ni usimame ktk nafasi yako kama mume,
Hata ukiwa kauzu kias gani kama mtu hana adabu hana tu. Na hata ulie vipi kama mtu hana adabu hana tu. Usilamizishe fulani awe na tabia kama zako.hili jambo halipoo

Binadamu hatufanani
 
Mfano mimi huwa siwazi ndoa kabisa zaidi ya wanaume kuanza Hilo swala pia kupiga goti huja tu automatic mzee ukiwaona wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Niamini mimi!! bongo hii bila kuwa na nia na kuonyesha kuwa unahitaji kuolewa, hutakuwa unaona tu wenzio TBC kipindi cha chereko-chereko saa 1900hrs jpili[emoji23] [emoji23] ...
labda kama nia yako kutokuolewa ( hapa tutarudi kwenye hadithi ya sungura sizitaki mbivu hizi)[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ile ya kucheza ilibidi niwe mpole tu, maana Hawa ma mC wetu naona ndo wameleta hiyo fasheni.
 
We kwani ni mwanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As you're such an agent of feminism by copying western culture without knowing how it has been negatively affected their married families by divorcing Women and contract marriage presence results which leads every year all over the world by 45-60% to.

Don't think every thing brought by white people is very better to adapt towards benefits results nowadays in African countries.

Wake up coz you're going to bury yourself in unexpected grave.

REMEMBER;

FERMINITY, EQUAL GENDER QUALITY AND WOMEN RIGHTS are satanic spirits created in western countries(European Nations) and U.S.A. to destroy God's plan for real marriage life with happy and loveness between Man and Woman in their family.

NB:

WOMAN = WIFE OF MAN as reveals you're supposed to be owned by MAN.

Be tuned and flexible to agree truth sensitivity.

MAN WILL ALWAYS BE MAN AND WOMAN WILL BE REMAIN AS A WOMAN AND IT DOESN'T MATTER HOW MUCH YOU CAN TRY TO COMPETE WITH MAN TO BE EQUALLY BY BEHAVIOR, STRENGTHS, PERSONALITY, THINKING CAPACITY, DECISIONS AND ATTITUDE DUE TO THE NATURE OF MEN CREATION BY GOD HIMSELF AND YOU CAN'T WIN IT EFFECTIVELY RATHER THAN WESTING YOUR TIME.
And I solemnly swear you are such a cry baby na kugaragara juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimlilie Mwanamke kwamba kaniumba au unatumia nini kufikiri kabla hujaandika usichokijua?

Nani kakwambia Mwanaume asipokulilia ndiyo hakupendi kwa dhati?

Hivi Baba yako mzazi naye alikuwa anafanya hivi au unatetea tu ujinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mchungu sana huu Kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba umetiririka aisee...hapo kwenye man enough unamaanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…