Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Dooo yaaani mkuu hapa nimecheka mpaka watu wananishangaa kwenye gari[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact.. Unaliaje. Kwanza nikiona MTU Analia naweza kucheka

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

Kwa nini mkuu?
 
Kijana bado anayo safari ndefu sana, kwa anavyojieleza. Kipusa kama hicho sijui.........naomba niishie hapa.
 
What part of shedding tears makes a man a woman?

If it were so, other than the genitals, tears would be used to identify the gender of a child at birth. Girls would cry at the top of their voices and boys? Well they would simply walk majestically out of their mother's wombs because boys don't cry.

Feminism? It does not apply in a thread whose debate is if a man shedding tears is girlish.

If African culture says men who cry are girls basi this should apply to men who cry at funerals, out of anger etc. 😁😁
 
Hata mimi hiyo video nimeiona,ameniboa sana na niliona kama inamdhalilisha sana.Sisi wanaume ndio tunachagua wanawake na kama hajakuridhisha unapiga chini.Amempa confidence sana huyo mdada na inavyoonekane brother kaonewa huruma tu kwani jamaa wakati analia dada wa watu alikuwa zake busy
 
Hahaa labda jamaa anapewa mambo motomoto hadi anaungua,anashindwa kuvumilia analia...
 
Hamna, huna tatizo mkuu huo ndo uvumilivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Maana nakumbuka miaka ya nyuma nilipokuwa sehemu fulani iliitwa RTS Kunduchi kuna afande alitujaribu kwa kutupeleka kwenye chemba za vyoo na funza wake tukiwa na vyombo vya chakula. Makuruta wengine walishindwa kula, wengine kutapika. Mimi nilikula vizuri hadi nikaomba paper 2.Jamaa wakanishangaa nami nikawaonea huruma tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo uanaume kamili huo mkuu, pilipili kashasaliti kambi ya kiumeni so hatuwezi kumwelewa hata mtu anieleweshe vipi siwezi kuelewa hata kidogo hii swala la kujiliza mbele ya mwanamke eti mapenzi yamezidi hadi yanamwagika daah niwe oldschool tu ila hiyo inashusha nyota za kiumeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kula mbele ya uchafu ndo uanaume una safari ndefu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…