Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

You nailed it, dume limeumbwa kuwa imara. Emotional beings ni wanawake, they can not hold enough hata mkojo tu hawawezi. No sphincter muscles.
 
Hajawahi kuwa outright Man than just some mediocre attention seeking dismal comedian

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Its all about interpretation of things....ume associate kulia na udhaifu sababu hivyo ndivyo ulivyolelewa.....naomba tu nikwambie kulia is not making a person less a man,labda kama kuna new research inayoonyesha kuwa ukiwa ni mwanaume unayelia utakua huwezi ku make judgements ..hapo ndio mngekua na hoja,ila kulia na uanaume sio vitu vinavyoenda pamoja,...……………..sad unasema huwezi kuonyesha hisia zako meaning huwezi kulia hivi hujui kwamba kulia kunamfanya mtu afeel better...hata kwenye msiba mtu ambaye analia huwa anarecover mapema kuliko mtu asiyelia,mtu asiyelia anatumia grieving period kubwa Zaidi...so kulia is important..eti kulia sio uanaume nikikupa kitunguu ukate hautalia? au utaenda kukata ukiwa chumbani kwako usionyeshe hisia zako?joke
 
Bora aneyelia chumbani, huyu anayelia hadharan na macamera yana mmulika ni upimbi wa kiwango cha juu
 
Jibu liko wazi..."Dhaifu" wanawake wazuri hawako attracted na mwanaume dhaifu. Huwezi mpata demu anaejitambua ukiwa huna confidence ama hujiamini! Ukitikiswa kidogo tu unaanza kujiliza.

its opposite,wanawake tunapenda mtu anayeonyesha kutujali tena kupita kiasi..lol
 
Mwanamke anaonekana ana mawazo sana, pengine anajiuliza atamsaliti vipi huyu jamaa au labda anajiuliza kwanini hajajitokeza lijali wa kweli kumchumbia?
 
Hah
Hahah hapo demu ndio anakula bingo, ndoa ya bure hio anajua baada ya hapo ataendelea kufanya yake tu kwa jinsi atakavyo maana mume ndio amefosi kingi ikiwa anajua wazi so many guys are hitting on her woman. Siongei kwa ubaya ila ndoa za kuoneana huruma zina mateso sana mbeleni including a lots of cheating.
 
kulia ndio kuonyesha anakujali hivyo ...hayuko scared kukuonyesha feelings zake mbele ya watu....
Anililie chumbani Huko sio kwenye halaiki ya watu . Hapo wa kulia ni mimi yeye Anibembeleze, zamani mabibi harusi walikuwa wanalia sijawahi sikia bwanaharusi analia.
 
Anililie chumbani Huko sio kwenye halaiki ya watu . Hapo wa kulia ni mimi yeye Anibembeleze, zamani mabibi harusi walikuwa wanalia sijawahi sikia bwanaharusi analia.

unaona sawa mwanamke aonyeshe hisia zake,ila mwanaume ndio asionyeshe..why?? huu ni ukatili...
 
Kulialia ni sign za kuonyesha weakness for a man,Sio kwamba hatutakiwi kulia,inapokuwa ni jambo la huzuni sana inabidi kulia lakini sio kwa vitu ambavyo sisi wanaume wengi hatuoni/hatuamini kuwa kuna sababu ya kulia,ndio maana hata kama inabidi kulia inabidi ujifiche uli usionyeshe kuwa unalia na huo ndio uanaume dunia nzima sio kwa Boko Dar es salaam peke yake..
 
Lazma atatambua uongozi, wahuni sio watu!!!
 
Hahah ndio maana wanawake inabidi tuwatangulie mbele always. Angalia tu thinking ya Rebbecca hapo, yeye anawaza moyo wake ujazike na furaha kwa sasa tu ujilize mbele yake afurahi ila siku ada ya mtoto ikikosekana ukianza kujiliza atakutolea shombo badala akufariji muendelee kulia pamoja. Hahahah huyo ndio mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…