Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Siku ya ndoa si atagalagala kabisa!
 
yaani ni upuuzi mkubwa

umetafuta mwenyewe hela ya pete

umeenda kununua mwenyewe

umepanga sherehe mwenyewe

umelipia ukumbi mwenyewe

hayo yoote ulipanga mwenyewe

hlf mwisho wa mchezo unalia kama umefanyiwa surprise

NI UMAMA NI UBIBI NI USHANGAZI NI UDADA KABISA
 
nukuu ya Leo!
sio kila mwanamke anapenda hela.. ila kama unajionesha kuwa unazo..
wapo wa kukusaidia kuzitumia!
 
sherehe hiyo imehudhuriwa na watu mbalimbali wa Serikali na taasisi zisizo za kiserikali.

Kiongozi wa Serikali aliyekuwepo ni nani? au ni Mwenyekti wa mtaa huo?
 
Mwamba umeongea fact sana, ila nimecheka mpk dunia itapoangamizwa!!! Ha ha ha
 
Wanaume wa JF bwana. Wanajikuta wao ndio vidume hizi fake ID hizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Atafurahia show huyo MC uchwara....I felt something like this was behind all the drama. Mwanaume confident halilii demu hata siku moja. Kuoa mwanamke wa mtu hakujawahi kuwa na matokeo chanya asubirie tu maumivu ya kupigiwa.
 
Unless uwe unaigiza humu, but ironically you sound kama mwanamke flani mjuaji na mbinafsi sana. You need mwanaume alie very strong ku deal na character yako otherwise sie tunaopenda mahusiano bila kelele na makwazo tutakuwa tunaishia njiani tu.
 
Hahah hilo halina shaka, kugonga kila j5 jioni. Hahah weekend hamna kusex kwa kisingizio cha mapumziko halafu inapelekwa kinyemela kwa Robert anaiwasha kimafia.
 
Kumbe kakuzidi kila kitu. Nilijua we ndio umemzidi kila kitu! Hio mbona ni logical. Ila pamoja na yote hajawahi kukulillia mbele ya kadamnasi
 
Mc Pili Pili sie wengine tumekuelewa,tukio lilikua overwhelming kwako, na kulia ni natural,wewe pekee ndio unayejua how you felt that day,mbona wadada wengine siku ya harusi wanalia wakati ni jambo la furaha ?
Hata siku moja big G haiwezi kuitwa gundi japo ina nature ya kukamata baadhi ya vitu kama ilivyo gundi. A man has his moral values kama mwanamume japo wote ME na KE ni binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…