[emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu jamani Watanzania sijui tuna matatizo gani? Kikawaida tukio la kumvalisha binti pete linatakiwa kufanywa SAPRAIZ! Sasa huwezi kuandaa sherehe, ukaita watu including na binti mwenyewe, watu wakashona sare, matarumbeta, nakadhalika halafu eti unapiga goti unamuuliza binti "Will you marry me?" Halafu akikubali unalia.. [emoji23][emoji23][emoji23] We ulitegemea akatae sasa kaja kufanya nini ukumbini..?🤣🤣🤣🤣🤣
Bahati mbaya si kwa mwanamke wa kiafrika. Kuonesha hilo dhahiri ni kama kuuza ramani ya vita kwa adui. Mwanaume hajawahi kubaki salama baada ya kujianika kuwa hajiwezi kwa penzi la mwanamke wa kibongo.Kama mwanamke alienae ni zwazwa basi lazima atafanya hivyo. Hakuna kitu wanawake wanashindwaga kuelewa kama a man's vulnerability...wanaume si wafungukaji kirahisi kihisia (inachangiwa sana na mitazamo ya kijamii toka anapokua mtoto) so mwanaume kuweza kuonesha hisia zake wazi kwa mwanamke ni kielelezo tosha cha mapenzi ya dhati kwa huyo mtu au kumaanisha kile anachokifanya kutoka moyoni mwanamke hapaswi kuitumia hio kama silaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah hio mbona iko wazi.Hata mimi hiyo video nimeiona,ameniboa sana na niliona kama inamdhalilisha sana.Sisi wanaume ndio tunachagua wanawake na kama hajakuridhisha unapiga chini.Amempa confidence sana huyo mdada na inavyoonekane brother kaonewa huruma tu kwani jamaa wakati analia dada wa watu alikuwa zake busy
Afu anasema wamejuana miezi michache, unajiliza kwa mtu humjui hata hajafichua makucha yake ila fresh tu kila mtu ana njia zakeMC Pilipili yupo live Clouds - anajibu hizi tuhuma kwenye kipindi cha 'Leo tena'. Mpenzi wake anasema hata siku ya Happy birthday yake alimwaga chozi.
Tushazoea Clouds kuhoji mashoga...MC Pilipili yupo live Clouds - anajibu hizi tuhuma kwenye kipindi cha 'Leo tena'. Mpenzi wake anasema hata siku ya Happy birthday yake alimwaga chozi.
Ndio napenda mtu aliyenizidi kila kitu had dhambi. Akiwa na emotions alie tu maana kulia ni kuonyesha hisia nami nitamweshimu samaKumbe kakuzidi kila kitu. Nilijua we ndio umemzidi kila kitu! Hio mbona ni logical. Ila pamoja na yote hajawahi kukulillia mbele ya kadamnasi
Unless uwe unaigiza humu, but ironically you sound kama mwanamke flani mjuaji na mbinafsi sana. You need mwanaume alie very strong ku deal na character yako otherwise sie tunaopenda mahusiano bila kelele na makwazo tutakuwa tunaishia njiani tu.
Hata sio mjuaji na ubinafsi kwangu mwiko napendwa na kila mtu. I'm not selfish so don't judge what I believe with ur perception in your head my dear. Napataga wanaume waelewa na vilaza fa fa fa kwangu hawana nafasi mkuu. Kwanza hata kuongea huwa binde and once I spoke you will wonder walahUnless uwe unaigiza humu, but ironically you sound kama mwanamke flani mjuaji na mbinafsi sana. You need mwanaume alie very strong ku deal na character yako otherwise sie tunaopenda mahusiano bila kelele na makwazo tutakuwa tunaishia njiani tu.
Dildo la nini na wanaume wapo tele. Kila mbuzi ale usawa wa kamba yakeWa hivyo ni kumuacha tu adeal na dildo mpk hio niaje iote sugu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe ana vinasaba vya kike ndiyomaana ni "CHA KULIALIA" wakati wote?MC Pilipili yupo live Clouds - anajibu hizi tuhuma kwenye kipindi cha 'Leo tena'. Mpenzi wake anasema hata siku ya Happy birthday yake alimwaga chozi.
Kama vile huyo Mchumba wake ndiye roho yake ambapo akizingua kidogo tu basi MC Pilipili Taira chali na watu tunaenda kabisa kuuzika.Afu anasema wamejuana miezi michache, unajiliza kwa mtu humjui hata hajafichua makucha yake ila fresh tu kila mtu ana njia zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nalo hilo jimama, ukute hata kuolewa kwenyewe haujaolewa, au lilishaolewa mara nyingi tu likaachika, so linabaki kukandia tu Wanaume ilimradi lionekane lina uelewa sana wa uhalisia wetu sisi Wanaume, utadhani na lenyewe lina jinsia mbili sawa na dume jike.Kumbe kakuzidi kila kitu. Nilijua we ndio umemzidi kila kitu! Hio mbona ni logical. Ila pamoja na yote hajawahi kukulillia mbele ya kadamnasi
Ujinga wote linaotetea humu na jinsi linavyojisifia kuwa ni "wife material" ni tofauti kabisa na Wake wanaojitambua, tena na lenyewe linajisifia kabisa kuwa linamshukuru sana Mungu, PUMBAVU! Labda awe mungu mtu wa kiunoni, kwapani na chale za mwilini ila si Muumba mbingu na nchi aruhusu Wanaume tunaojitambua kusapoti huu ujinga kwa jinsi tulivyoumbwa kitabia na urijali tulionao.Unless uwe unaigiza humu, but ironically you sound kama mwanamke flani mjuaji na mbinafsi sana. You need mwanaume alie very strong ku deal na character yako otherwise sie tunaopenda mahusiano bila kelele na makwazo tutakuwa tunaishia njiani tu.
Hahaha anajiamini anapendwaUjinga wote linaotetea humu na jinsi linavyojisifia kuwa ni "wife material" ni tofauti kabisa na Wake wanaojitambua, tena na lenyewe linajisifia kabisa kuwa linamshukuru sana Mungu, PUMBAVU! Labda awe mungu mtu wa kiunoni, kwapani na chale za mwilini ila si Muumba mbingu na nchi aruhusu Wanaume tunaojitambua kusapoti huu ujinga kwa jinsi tulivyoumbwa kitabia na urijali tulionao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafeli sana yani ujuaji mwingiAchana nalo hilo jimama, ukute hata kuolewa kwenyewe haujaolewa, au lilishaolewa mara nyingi tu likaachika, so linabaki kukandia tu Wanaume ilimradi lionekane lina uelewa sana wa uhalisia wetu sisi Wanaume, utadhani na lenyewe lina jinsia mbili sawa na dume jike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo lazima nikuwashe vibao .
Kwanini unapenda arguments sana most of the times, like you never takes things easy. I wonder kama kuna utulivu kweli katika kubadilishana kauliHata sio mjuaji na ubinafsi kwangu mwiko napendwa na kila mtu. I'm not selfish so don't judge what I believe with ur perception in your head my dear. Napataga wanaume waelewa na vilaza fa fa fa kwangu hawana nafasi mkuu. Kwanza hata kuongea huwa binde and once I spoke you will wonder walah
Sent using Jamii Forums mobile app