Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao.
Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakaamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku tusijitie kujua, tutashushiwa rungu mpk tuusahau na kuuchukia mpira kabisa .