- Thread starter
- #21
Asante sana mkuu kwa kutoa elimu ya bure kwa hawa mashabiki uchwara.We ndio umekurupuka na haujui unachokiandika au hujaelewa hoja ya mleta mada, haijalishi Mwana Fa ni Kiongozi wa michezo, kwani hakuna chombo kinachosimamia soka? Yaani Hawa Mawaziri wa hii Wizara Wana weledi mdogo sana wa mambo. Hawa kazi Yao ni kusimamia sera za michezo kwa ujumla sio matokeo ya uwanjani au michezo ulichezeshwa vipi