Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Vip
Simba matokeo yao unayo au mechi haijaisha?. Imekuwa kama vile Simba hajacheza kabisa š¤£š¤£ .Wamepigwa penati za kimataifa siyo kama Aziza anampasia kipa na yule mwingine akampasia.