Ya Ndumbaro hayajapoa, MwanaFA kaja na jipya. Viongozi wa kisiasa acheni mihemko

Ya Ndumbaro hayajapoa, MwanaFA kaja na jipya. Viongozi wa kisiasa acheni mihemko


Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao.

Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakaamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku tusijitie kujua, tutashushiwa rungu mpk tuusahau na kuuchukia mpira kabisa .
Acha kutishia watu wewe kolo dunia nzima inalitambua lile goli
 
Nimeona sehemu Zakazakazi amemuomba FA kwenye hiyo barua asisahau kuitaja na Azam kwa maana kuna tukio la kiuonezi walifanyiwa kwenye mechi ya marudiano ya kufuzu makundi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom