Ficha upumbavu wako, FA ni naibu waziri wa michezo anayo haki ya kuandika alichoandika.
Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao.
Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakiamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku tusijitie kujua, tutashuhiwa rungu mpk tuusahau na kuchukua mpira kabisa .
Uzuri Rage alishatwambia,Ficha upumbavu wako, FA NI naibu waziri wa michezo anayo haki ya kuandika alichoandika.
Huwa mnapenda kujipendekeza CAF mkipata shida mnataka serikali ndio iwasaidie.
Waambieni CAF sasa waje wawajengee viwanja usitumie viwanja vyao serikalim
Ujinga tu.
Mnadhani wenyewe hawakusikia siku mliposema kuwa mashaabiki watakao vaa jersey zao watoe passport?
Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao.
Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakiamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku tusijitie kujua, tutashuhiwa rungu mpk tuusahau na kuchukua mpira kabisa .
Hebu turudi kwenye sheria za caf na fifa zinasemaje!Ficha upumbavu wako, FA ni naibu waziri wa michezo anayo haki ya kuandika alichoandika.
Huwa mnapenda kujipendekeza CAF mkipata shida mnataka serikali ndio iwasaidie.
Waambieni CAF sasa waje wawajengee viwanja msitumie viwanja vyao serikali
Ujinga tu.
Hua wanakurupuka kama wanaugua dege dege!
Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao.
Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakiamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku tusijitie kujua, tutashuhiwa rungu mpk tuusahau na kuchukua mpira kabisa .
Zama zile Makolokolo wako on fire ulikuwa hutumi kabisa vibonzo hivi, tangu Yanga SC iwe ya moto zaidi kimataifa ndiyo unajizima data, unafki ni kipaji [emoji851]
Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao.
Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakiamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku tusijitie kujua, tutashuhiwa rungu mpk tuusahau na kuchukua mpira kabisa .
Hamjazoea kuona watu wakidai haki zào. We kaa kimya usubiri shemejio alete mboga.
Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao.
Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakiamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku tusijitie kujua, tutashuhiwa rungu mpk tuusahau na kuchukua mpira kabisa .
VAR officials ndiyo waliopo pale kutoa haki. Sasa wametoa haki kwa Mamelodi wewe unagoma. Nadhani wewe ndiye hujazoea vya haki.Hamjazoea kuona watu wakidai haki zào. We kaa kimya usubiri shemejio alete mboga.
VAR si ilikuwepo uwanjani sasa hao wataalamu unawatoa wapi. Ukiona hivyo mpaka unaazima wataalam wengi ujue kuna shida hapo
Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao.
Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakiamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku tusijitie kujua, tutashuhiwa rungu mpk tuusahau na kuchukua mpira kabisa .
We ndio umekurupuka na haujui unachokiandika au hujaelewa hoja ya mleta mada, haijalishi Mwana Fa ni Kiongozi wa michezo, kwani hakuna chombo kinachosimamia soka? Yaani Hawa Mawaziri wa hii Wizara Wana weledi mdogo sana wa mambo. Hawa kazi Yao ni kusimamia sera za michezo kwa ujumla sio matokeo ya uwanjani au michezo ulichezeshwa vipiFicha upumbavu wako, FA ni naibu waziri wa michezo anayo haki ya kuandika alichoandika.
Huwa mnapenda kujipendekeza CAF mkipata shida mnataka serikali ndio iwasaidie.
Waambieni CAF sasa waje wawajengee viwanja msitumie viwanja vyao serikali
Ujinga tu.
Haya. Endelea kushupaza shingo. Hivi hata wewe ungekiwa ndiyo CAF unaweza kuruhusu timu yenye akina Aziza na Mzinzi (wakosa magoli hawa) waende nusu fainali halafu timu yenye Allende, Nzwane, na Mokoena ibakie?Madhara ya kushabikia timu za mabwana wenu haya,, hujui chochote kwny mpira ila unaleta pumba kama hizo, FA yuko sahihi 100% mpe pole bwana wako dada
Mwana Fa sio kazi yake aisee na asijachanganye Kuna Mamlaka zinazosimamia michezo Yeye ni Kiongozi wa Serikali kazi yake ni kusimamia sera za michezo sera za Mamlaka za michezo sio maamuzi au matukio ya viwanjani. Asijichanganye aisee hilo jambo awaachue Yanga na TFF walifuatilieNimeona sehemu Zakazakazi amemuomba FA kwenye hiyo barua asisahau kuitaja na Azam kwa maana kuna tukio la kiuonezi walifanyiwa kwenye mechi ya marudiano ya kufuzu makundi