Ya Ndumbaro hayajapoa, MwanaFA kaja na jipya. Viongozi wa kisiasa acheni mihemko

Asante sana mkuu kwa kutoa elimu ya bure kwa hawa mashabiki uchwara.
 
Ujuwaji mwingi mbele kiza, Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga tayari ameshafile document.

Nyinyi endeleeni kupiga domo tu.
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Ujuwaji mwingi mbele kiza, Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga tayari ameshafile document.

Nyinyi endeleeni kupiga domo tu.
🤣🤣🤣🤣
Halafu unajiita PhD, hili ni suala la Yanga sio Wizara. Yanga wapambane wenyewe sio kuishirikisha Serikali, halafu umeandika Mkurugenzi wa Sheria sio Mkurugenzi wa michezo? Sijaelewa 🙄
 
It's better to let someone think you are an Idiot than to open your mouth and prove it.🙃
 
Kuwa waziri wa michezo hakukupi uhalali wa kuingilia masuala ya michezo.

Waziri wa michezo anaishia kutunga sera zinazohusiana na michezo sio kuingilia masuala ya michezo.

Hata Rais wa nchi ni waziri wa wizara zote ila akiingilia tu masuala ya mpira nchi inapigwa rungu.
 
Muulize Michael Wambura atakueleza vizuri serikali ni nini.

Yule Kibaka mkuu SEP Blatter aliyejitungia hizi kanuni za kitapeli muulizeni atawajibu kama serikali inaweza au haiwezi kuingilia Mpira inapobidi.

Mmekaririshwa ujinga mtupu.
 
Haya. Endelea kushupaza shingo. Hivi hata wewe ungekiwa ndiyo CAF unaweza kuruhusu timu yenye akina Aziza na Mzinzi (wakosa magoli hawa) waende nusu fainali halafu timu yenye Allende, Nzwane, na Mokoena ibakie
Hao wakinda Allende wameifunga yanga goli ngapi kwenye dakika 180?
 
Reactions: Exy
Wewe na mleta mada mna shida?, kwanu meana FA kasema serikali imeaimabia yanga? Au kasema amewaambia?. Au yeye hawezi kuwa sehemu ya shabiki aliye na haki ya kutoa Maoni? Kwani alikuwa kweny Press? Au hiyo ni akaunti ya serikali?. Kwahiyo mtu akiwa kiongozi hapaswi kutoa mawazo yake?. Fikiria nje ya box .
 
Comments reserved
 
Acheni utumwa wa kifikra...Mbona hiyo Fifa imeshindwa luwafungia England kwa kumlazimisha Boss wa Chelsea kuachia timu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…