Simba matokeo yao unayo au mechi haijaisha?. Imekuwa kama vile Simba hajacheza kabisa 🤣🤣 .Wamepigwa penati za kimataifa siyo kama Aziza anampasia kipa na yule mwingine akampasia.
Punguza mihemko.umeulizwa kuhusu FA kama naibu waziri wewe unaleta porojo za mwanasheria.kwani nani hajui.watu wanakuelimisha kuhusu kufuata taratibu sahihi kwa wahusika sahihi.Ujuwaji mwingi mbele kiza, Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga tayari ameshafile document.
Nyinyi endeleeni kupiga domo tu.
Usahihi wake ni upi?.Yeye atabaki kua mshauri tu ila wahusika ni chama cha soka na timu husika.Makolo ni Majinga siku zote
Mwana FA kama Naibu Waziri yupo sahihi kabisa
Wewe senge na wewe umeshakuwa mchambuzi?
Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao.
Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakaamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku tusijitie kujua, tutashushiwa rungu mpk tuusahau na kuuchukia mpira kabisa .
Nimeshamwambia huyo PhD 😂Punguza mihemko.umeulizwa kuhusu FA kama naibu waziri wewe unaleta porojo za mwanasheria.kwani nani hajui.watu wanakuelimisha kuhusu kufuata taratibu sahihi kwa wahusika sahihi.
Wewe endelea kupayuka Tu.Nimeshamwambia huyo PhD 😂
Asante kwa ufafanuzi MkuuWewe endelea kupayuka Tu.
Unajuwa mpaka dakika hii hakuna media yoyote inayodiscuss aibu iliyotokea Jana Cairo, sasa kuna kaujanja kakuspin watu wasiwajadiri kabisa wazee wa Cairo.Wabongo kwa u much know tu, hamjambo. Eti Ya Ndumbaaro hayajapoa..!! Yapi hayo, kama siyo kupenda tu kukuza mambo ya kijinga na ya kipuuzi!
Waziri ni serikali au sio serikali??Ficha upumbavu wako, FA ni naibu waziri wa michezo anayo haki ya kuandika alichoandika.
Huwa mnapenda kujipendekeza CAF mkipata shida mnataka serikali ndio iwasaidie.
Waambieni CAF sasa waje wawajengee viwanja msitumie viwanja vyao serikali
Ujinga tu.
Hawa ndio wachambuzi uchwara wanaotakiwa kupelekwa shuleWewe senge na wewe umeshakuwa mchambuzi?
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana kumradhi kama nimekukosea.Serikali inawahusu vipi Yanga mpaka isafirishe mashabiki
Unaandika Kwa fikra za kutumia moyo sio akili, Ile kauli inaweza ikapoza nchi.. fuatilia Siasa za Mpira , unafikiri juzi tulivyoufyata ilikuwa ni suala dogo!Ficha upumbavu wako, FA ni naibu waziri wa michezo anayo haki ya kuandika alichoandika.
Huwa mnapenda kujipendekeza CAF mkipata shida mnataka serikali ndio iwasaidie.
Waambieni CAF sasa waje wawajengee viwanja msitumie viwanja vyao serikali
Ujinga tu.
Wanatafuta kiki tu za kisiasaWe ndio umekurupuka na haujui unachokiandika au hujaelewa hoja ya mleta mada, haijalishi Mwana Fa ni Kiongozi wa michezo, kwani hakuna chombo kinachosimamia soka? Yaani Hawa Mawaziri wa hii Wizara Wana weledi mdogo sana wa mambo. Hawa kazi Yao ni kusimamia sera za michezo kwa ujumla sio matokeo ya uwanjani au michezo ulichezeshwa vipi
Sasa hapa kati ya mwana FA na wewe, nani ana mihemko? Acha ujinga na ushabiki maandazi chundu wewe!
Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao.
Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakaamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku tusijitie kujua, tutashushiwa rungu mpk tuusahau na kuuchukia mpira kabisa .
HakikaUkishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Hapo wa kwanza kuficha upumbavu alikuwa huyo waziri. Wafuate viongozi wa Yanga kusaidia kuficha upumbavu wa mashabiki wakeFicha upumbavu wako, FA ni naibu waziri wa michezo anayo haki ya kuandika alichoandika.
Huwa mnapenda kujipendekeza CAF mkipata shida mnataka serikali ndio iwasaidie.
Waambieni CAF sasa waje wawajengee viwanja msitumie viwanja vyao serikali
Ujinga tu.
Hata wewe ungekuwa na pesa ungeweza kusafirisha mashabiki kama ungetaka.Sasa kama ni suala la Yanga mbona wizara imesafirisha mashabiki?