PostGE2025 Ya Rais Samia ndio ya Nyerere wakati wa kupigania Uhuru kwa waislam

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Waislam ndio walikua front kupigania uhuru, ukisikiliza hotuba yake mwalim Nyerere Bagamoyo aliwashukuru waislam kuwa mbele kupigania uhuru ambapo taasisi nyengine zilikua kimya.
Ndio hivi sasa, waislam wapo front kulinda tz huku wengine wakiwa wamejificha
 
Your browser is not able to display this video.

Ndiyo wanailinda hivi👆🏾 kwa kulawiti madogo, wakalinde Zanzibar huko huku tunapigania haki.
 
muslims na mauaji, kaangalie jinsi muslims wa zanzibar walivyowaua waarabu (muslims wenzao) zanzibar kwenye mapinduzi, waliwaweka kwenye kisiwa na kushoot mmoja baada ya mwingine at a close range, mass killings, tafuta hiiyo video youtube.

sisi haya mambo hatuyajui, rudini kwenu zanzibar mkamalizane huko mtuachie nchi yetu, pure evil …
 
Ufisadi wake huo ndo umfananishe na Nyerere? Bila kusahau utekaji, mauaji ya halaiki na utesaji.
 
29 waliohusika nani
 
Walikuwa front walikuwa wengi hada machifu na wasio na dini walikuepo sasa nashangaa mnajivisha umhimu wa nini
 
Wanalinda Tanzania au wanahongwa ubwabwa kuja kuropoka chochote?
 
nyerere hakuwa mf¥raji kwa wakosoaji wake.
 
Nyuzi km hizi hazitakiiwi kupewa airtime

Ni za kicenge sana hivi mods wapo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…