sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Uhuru wa Tanganyika umetolewa na waingereza kwa makubaliano na Nyerere.Waislam ndio walikua front kupigania uhuru, ukisikiliza hotuba yake mwalim Nyerere Bagamoyo aliwashukuru waislam kuwa mbele kupigania uhuru ambapo taasisi nyengine zilikua kimya.
Ndio hivi sasa, waislam wapo front kulinda tz huku wengine wakiwa wamejificha
Hakuna aliyepigania uhuru zaidi ya Nyerere.