PostGE2025 Ya Rais Samia ndio ya Nyerere wakati wa kupigania Uhuru kwa waislam

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Uhuru wa Tanganyika umetolewa na waingereza kwa makubaliano na Nyerere.

Hakuna aliyepigania uhuru zaidi ya Nyerere.
 
Malaria yako ni zaidi ya 2. Sioni ukipata unafuu anytime soon!
 
Usimfananishe mwalimu na mambo ya ajabu kabisa
 
Nyuzi hizi ziendelee kupewa airtime kusudi tuendelee kuwazoom!
Nyuma ya Uzi huu Kuna taarifa nyingi sana tunazipata na hata nyuma ya matamko yao!
Ungejuaje kwamba wamejipa jukumu la kulinda nchi?
Ungejuaje kwamba wanahamasishana kwenye nyumba zao za ibada kukata watu vichwa?
Cha muhimu tumejipanga kuwapokea kwa namna watakavyokuja!
Nyuzi km hizi hazitakiiwi kupewa airtime

Ni za kicenge sana hivi mods wapo wapi?
 
La muhimu ni jinsi ya kuwapokea wageni wetu km watakavyokuja!
 

Amani ndio nguzo ya maendeleo ya Tanzania , bila utulivu hatuwezi kujenga uchumi imara, elimu bora, afya na fursa sawa kwa wote. Uhuru tuliopewa ni wajibu wa kuendeleza misingi ya waasisi wetu kwa kuungana, kushikamana na kulinda maadili ya taifa. Tunapoadhimisha siku ya uhuru, tuitumie kama nafasi ya kuombea Tanzania yetu, kuimarisha umoja na kuendeleza uzalendo unaotujenga kuwa nguvu moja dhidi ya changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa. Maombi, mshikamano na upendo kwa taifa letu ndizo baraka na kinga ya Tanzania tunayoitamani. #uhuru #tanzania #africa #independence #december
 
Kulinda tz ni kuteka na kuua watu? Au unamaanisha nn
 
Waislam ndio kina nani!?
 
Ukiendelea kuendekeza huu unafiki na fitna utaelekea motoni.
 
Waislamu wamefaidika na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…