DNA , na uchunguzi mwingine wa TekelinalokujiaHii ni Kesi nyepesi sana, Mtuhumiwa atashinda ingawa imemsababishia aibu na fedheha kwa Jamii na pia kumfukuzisha Ukuu wa Mkoa.
Atashinda kwa sababu haina ushahidi wa moja kwa moja kwamba Mtuhumiwa alitenda hilo kosa, inawezekana vipimo vilionesha kuwa Mlalamikaji kaingiliwa kinyume na maumbile lakini ni ushahidi upi utathibitisha kuwa aliyetenda kosa hilo ni Mtuhumiwa?
Lakini pia naona Mlalamikaji hawezi kutoa ushirikiano kutokana na aibu lakini pia shinikizo kutoka Watu wengine ambao wapo upande wa Mtuhumiwa.
Mbona unarahisisha sana mambo?Hizi siyo zama za 1706!Unalijua hilo?Hii ni Kesi nyepesi sana, Mtuhumiwa atashinda ingawa imemsababishia aibu na fedheha kwa Jamii na pia kumfukuzisha Ukuu wa Mkoa.
Atashinda kwa sababu haina ushahidi wa moja kwa moja kwamba Mtuhumiwa alitenda hilo kosa, inawezekana vipimo vilionesha kuwa Mlalamikaji kaingiliwa kinyume na maumbile lakini ni ushahidi upi utathibitisha kuwa aliyetenda kosa hilo ni Mtuhumiwa?
Lakini pia naona Mlalamikaji hawezi kutoa ushirikiano kutokana na aibu lakini pia shinikizo kutoka Watu wengine ambao wapo upande wa Mtuhumiwa.
Who, what or which!!?Very stupid
Kama unapicha yake hebu tupia tufanye Tathmini.Figure ya huyo Binti ni Mnyaruanda
Bora kujilaumi binafsi kuliko na jamii nzimaPunyee. Huwa tunajilaumu binafsi.
Bc RC amekula mema sana ila basi tu ajali kazinFigure ya huyo Binti ni Mnyaruanda
Ndio maana naipenda sana punyee sometimesBora kujilaumi binafsi kuliko na jamii nzima
Tusubiri taarifa za uchunguzi, yote yanawezekanaJeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.
Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana ana tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.
Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.
Pia soma:
Jidanganye na siku 1 uingie kwenye 18 zao.Ushawahi kusikia Malaya amebakwa? Tokea uzaliwe ushawahi sikia HIO?
Kumbe ni mpenzi wake wa kike,.. NO COMMENT 🤐Alifanikiwa ndio maana polisi walisema kwenye barua yao iliyovuja kuwa dada alipotoa taarifa alikutwa na nguo zenye kinyesi na pia daktari alithibitisha dada aliingiliwa na kitu chenye ncha butu kwenye sehemu za kunyea
Taarifa alitoa dada muinguliwa
Kabisa hata mi kwa mtizamo wangu naona kesi ya yule mbunge wa babati Pauline Gekul ni mbaya kuliko ya huyuHuyo binti tamaa zake zimemponza.
Mabinti waache tamaa.
Huyo binti hajatekwa kaitwa na kwenda mwenyewe.
Miuno niliielewa ndio maana hadi leo haijanitoka kichwani 😹.ile miuno shoga niliipenda...au wewe hukuielewa? huyu namfahamu personal...ngumu
Sawa sawa.Naitun
Naitunza hii post kwa rejea
Alicharaza watu viboko..He, Kenan alibaka?
ni kwasababu tu hujui, huyu adhabu yake ni 30, wakati gekul kati ya 15 hadi 20 huko.Kabisa hata mi kwa mtizamo wangu naona kesi ya yule mbunge wa babati Pauline Gekul ni mbaya kuliko ya huyu
That bitch, a woman of serpentWho, what or which!!?
18 Zipi Malaya ni Malaya tuJidanganye na siku 1 uingie kwenye 18 zao.