Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Hii ni Kesi nyepesi sana, Mtuhumiwa atashinda ingawa imemsababishia aibu na fedheha kwa Jamii na pia kumfukuzisha Ukuu wa Mkoa.

Atashinda kwa sababu haina ushahidi wa moja kwa moja kwamba Mtuhumiwa alitenda hilo kosa, inawezekana vipimo vilionesha kuwa Mlalamikaji kaingiliwa kinyume na maumbile lakini ni ushahidi upi utathibitisha kuwa aliyetenda kosa hilo ni Mtuhumiwa?

Lakini pia naona Mlalamikaji hawezi kutoa ushirikiano kutokana na aibu lakini pia shinikizo kutoka Watu wengine ambao wapo upande wa Mtuhumiwa.
DNA , na uchunguzi mwingine wa Tekelinalokujia
 
Mbona unarahisisha sana mambo?Hizi siyo zama za 1706!Unalijua hilo?
 
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.

Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana ana tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.

Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.

Pia soma:
Tusubiri taarifa za uchunguzi, yote yanawezekana
 
Alifanikiwa ndio maana polisi walisema kwenye barua yao iliyovuja kuwa dada alipotoa taarifa alikutwa na nguo zenye kinyesi na pia daktari alithibitisha dada aliingiliwa na kitu chenye ncha butu kwenye sehemu za kunyea

Taarifa alitoa dada muinguliwa
Kumbe ni mpenzi wake wa kike,.. NO COMMENT 🤐
 
He, Kenan alibaka?
Alicharaza watu viboko..
images (90).jpeg
 
Aisee yaani yeye RC alishindwa nini kutumia tu ile organ halali ya binti huyo kuliko akaepukana na fedheha hii!!, au ndo kawafanyia wengi alishazoea!.Na mabinti tunzeni hizo organ zetu zinapoteza ladha mapema mno ndo maana wahabeshi wanaamua kupita kwa Shithole.
 
Back
Top Bottom