Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Ifike mahala wakuu wa mikoa wapewe assignment na muda wa kuzikamilisha mara tu wanapoapishwa!Yeyote anayefeli kuzikamilisha anaachia nafasi mara moja.Matukio haya ni ushahidi tosha viongozi huko maofsini wanakazi lakini haziwaumizi kichwa they can work on them today or they can postpone na hakuna wa kufuatilia au kuuliza.
Huwez kuwa na viporo ofsini na unajua muda unaisha ukawaza use***!!Yaan ujue kabisa kwamba miradi hii isipokamilika mwezi huu wa sita natolewa ofsini halaf uanze kuwaza nyuma ya maumbile!!!!!!!Never
Mawazo machafu huja pale unapokuwa umeRELAX,hakuna wa kukuhoji,kila mmoja anakuogopa na kwamba unaweza kumpata yyt simply because wew ni RC(na bahati mbaya dada zetu wa kitanzania ni very soft sana kwa wenye vyeo na ** unlike let say Kenya).Kukaa tu na kaz zipo lakin kaz zenyewe ni za watu kuja kukuona ofsini kukwambia wanagombania mashamba,hauna mazoezi,unaendeshwa yaan kiufupi mwili na akili zimepumzika lazima NYEPESI MDODO zijae nyiiingi!..
Halaf wafanyakaz wa Serikali acheni kuangalia pornography,mmezidi by the way nadhan ninyi ndo mnaongoza kutembelea tovuti chafu!!!
 
Huyu binti asingelawitiwa akafanya mapenzi ya kawaida angepiga kelele hizi au ?
Shida ni mazingira na namna alivyofanyiwa hiko kitendo kama kukomolewa au kudhalilishwa. Nawanda angeimbisha hadi demu akavua mwenyewe sidhani kama ingeleta shida. Tatizo ubabe wa madaraka; demu kaamua naye kumdhalilisha! Unadhani hapo nani kadhalilika zaidi?
 
Sheria ni msumeno
 
Uchunguzi gani wa kimaabara wakati mwanafunzi alishapimwa na kugundulika amefumuliwa RINDA? Kwakuwa hajabakwa hapo atafungwa tu miaka miwili.
 
Ok. Vipimo vya daktari vinasemaje, kwa sababu CCM Ina mbinu 1000 za Hila,kumfuta uRC. Inawezekana hiyo ni mbinu Moja TU wametumia na wamefanikiwa.
Na kuna uwezekano huyo Binti anapenda kulawitiwa ilasiku hiyo hakulipwa chake vizuri
 
Hamna kesi hapo kama Gekul tu
 
DNA haijawahi kumwacha mtu salama wewe. Hadi gari ya jamaa imezuliwa polisi unadhani kwanini? Vipimo vitachukuliwa siti ya nyuma ku-trace DNA za wote wawili hapo kwenye siti kupitia "maji maji" ya miili yao yaliyodondoka hapo!

Usicheze na teknolojia ilishawahi kumwaibisha hadi Rais wa Marekani hivi hivi. Ulishawahi kusikia habari za Monica Lewinsky? Google.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…