MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Mwingine huyu hapa 👇Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.
Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana ana tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.
Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.
Pia soma:
Fedheha ya punyeto atakayejua ni manzi yako tu baada ya mashine kugoma kusimama.Bora fedheha ya punyeto kuliko fedheha za namna hii
Duu! Hatari sana, huyu kachezeshewa tu na Wajanja, ni ngumu sana Mwanamke kutangaza kitu kama hicho ukizingatia hakubakwa!DNA haijawahi kumwacha mtu salama wewe. Hadi gari ya jamaa imezuliwa polisi unadhani kwanini? Vipimo vitachukuliwa siti ya nyuma ku-trace DNA za wote wawili hapo kwenye siti kupitia "maji maji" ya miili yao yaliyodondoka hapo!
Usicheze na teknolojia ilishawahi kumwaibisha hadi Rais wa Marekani hivi hivi. Ulishawahi kusikia habari za Monica Lewinsky? Google.
Why asiweze kufanya?Siamini kama anaweza fanya hii ishu...anywys
Atahukumu yeye muumba, km aliweza hapo zamani, hawezi shindwa wakati huu.tutallamika sana tu. wakati Muumba ashatoa hukumu za watu kama hawa sisi binaadam tunajifanya tunahuruma
Hebu tumuonee jamani, woiiiiihNi kesi za michongo tu izi, binti mwenyewe ukimuona utashangaa...
Ukishakuwa kiongozi au status fulani katika jamii unapaswa kujichunga sana otherwise wahuni watapita humo humo kwenye madhaifu yako kukuaibisha.Duu! Hatari sana, huyu kachezeshewa tu na Wajanja, ni ngumu sana Mwanamke kutangaza kitu kama hicho ukizingatia hakubakwa!
Kwakweli,na unatoka hapo ndani unaenda sehemu unakunywa Heineken na kitimoto saaafiBora fedheha ya punyeto kuliko fedheha za namna hii
Hebu tumuonee jamani, woiiiiih
Mwaka wa 10 huu na sijawahi kuwa mnyonge kwa demu wanguFedheha ya punyeto atakayejua ni manzi yako tu baada ya mashine kugoma kusimama.
Bajeti ndo ishakua hivo haiwezi badilika!!
Bora fedheha ya punyeto kuliko fedheha za namna hii
Tena ukichukua sheria mkononi unafanya ajasti mwenyewe saizi unayotaka kama mnato au bwanga.Bora fedheha ya punyeto kuliko fedheha za namna hii
Sio mbaya n mzuri.
Ni kweli, wengine wanatakiwa kujifunza kupitia hili, huenda kuna Jimbo alikuwa anapitapita kwa ajili ya kugombea uchaguzi ujao, Wajanja wamekula kichwa..Ukishakuwa kiongozi au status fulani katika jamii unapaswa kujichunga sana otherwise wahuni watapita humo humo kwenye madhaifu yako kukuaibisha.
Dr. Nawanda siku ya tukio angekuwa nyumbani na familia yake wangempataje? Ila kwa kuwa aliamua kuingia "disko" hizo ndio gharama anatakiwa kulipa.
Na ht kama n ni wale wazee wa dkk 2 bado utakuwa na uwezo wa kujikadiria muda wa kumwagaTena ukichukua sheria mkononi unafanya ajasti mwenyewe saizi unayotaka kama tight au bwanga.