Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.

Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana ana tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.

Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.

Pia soma:
Serious polisi wamesubiri muda wote huo ndio wamkamate na kuanza uchunguzi? Kama sio kutaka kumsafisha ni nini?
 
Na mjadala umehamia kwenye noti ya sh 100 kuwa na nembo ya Yanga.

Nchi ya mafala hii. Bora ningezaliwa jibwa Ulaya.

Hata Tumsime angekuwa kafirwa na afisa wa serikali za Ulaya angekuwa bilionea. Lkn hapa kaambulia 65M tu.
Hapa ndio umefika wakati wa kukumbuka ule wimbo TUPO BONGO BAHATI MBAYA KALIBU ULAYA
 
Alifanikiwa ndio maana polisi walisema kwenye barua yao iliyovuja kuwa dada alipotoa taarifa alikutwa na nguo zenye kinyesi na pia daktari alithibitisha dada aliingiliwa na kitu chenye ncha butu kwenye sehemu za kunyea

Taarifa alitoa dada muinguliwa
"Ncha butu"? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie watu aaaah
 
Bajeti zilikua za kina Amir Jamal, Cleopa Msuya, Edwin Mtei, Steven Andandangisye, Kighoma Malima. Sasa hii ya Mwigulu ya kukopa trilioni 20 ndani ya miaka mitatu na kuuza bandari bado nauli ya yreni Dar/Dom 120,000 utajadili Nini?
Umesikia alivyojikanyaga alipotoa maelezo kuhusu kukua kwa Deni la taifa,?
Bora kum diskas Yahya ambaye leo hii atalala na vijana wenye kunguni.
😂😂😂
 
Majuzi nilikuwa na rafiki yake aliyekuwa nae na kusoma nae. Wanasema kuna kipindi pia alitolewaga ukuu wa wilaya kwa kashfa kama hizo hizo
Kwani ni yeye tyuu? Mbona yule akiyekua RC na sasa kapelekwa kwenye jumuia ya chama, kampangia msenge apartment hapo sala sala.

Tatizo LA huyu jamaa ni kukurupukia wasiohusika, au laah walishindwana bei, woiiiiih
 
Kwani ni yeye tyuu? Mbona yule akiyekua RC na sasa kapelekwa kwenye jumuia ya chama, kampangia msenge apartment hapo sala sala.

Tatizo LA huyu jamaa ni kukurupukia wasiohusika, au laah walishindwana bei, woiiiiih
tutallamika sana tu. wakati Muumba ashatoa hukumu za watu kama hawa sisi binaadam tunajifanya tunahuruma
 
Back
Top Bottom