Yahya Sinwar baada ya kuwaponyoka Israel aibuka na kusema Hamas imeshaua zaidi ya elfu askari wa IDF

Unapigana na adui akiwa nyumbani kwako😃😃😃
 
Kwani netanyahu umemuona kwenye uwanja wa vita siamejificha tu nyumbani tena mpk mwanae alietakiwa kupigana vita kamficha asiende lakini ww unataka kiongozi mkuu wa hamas aingie vitani na utasubiri sana
 
1,000 kwa 20,000 🙃😃😃
 
1,000 kwa 20,000 🙃😃😃
View attachment 2854095
Malengo ya israel ni yapi unaweza kuuwa hata watu million lakini usipofikea malengo yako ya kuanzisha vita umefail maana malengo ya israel ni mawili 1.kuokoa mateka na walisema hawataki majadiliano watawaokoa mwisho wa siku wakaomba kubadilishana na mpk leo hakuna mateka waliemuokoa zaidi ya waliobadilishana 2.kuifuta hamas hapo ndio wanahangaika huu mwezi 3 unaenda eneo lenyewe wanalohangaika nalo kama kigamboni na hapo wanasaidiwa na Usa+france+german+uk
 
Al sahafu katika ubora wake
 
Hamas wamejua kuwaabisha wazayuni[emoji23][emoji1787][emoji1787] Mwezi wa3 huu kazi kuua raia tu si waue hao Hamas sasa
Wanajeshi waisrael wanavyojikusanya pamoja na kuuliwa kizembe had aibu,zile nyumba za wapalestina walizofanya magofu ndio zimekua makaburi yao
 
Kinachoendelea Gaza kila mwenye macho anaona.
Jana israel imeua gaidi la iran hujo syria lenye cheo cha brigedia jenerali
Vifo vimefikia ekfu 21 huku zaidi ya elfu 50 wakijeruhiwa. Kila jengo iimebomolewa. Netanyahu amesema vita haisimami.
Majenerali wa Israel kadhaa nao wameshaondosswa na Hamas nao wanasema vita viendelee.Hakuna kurudi nyuma
 

Malengo ni kuwatoa Hamas madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…