Vyombo vyenyewe vinaongozwa na jambazi wamburaWazo zuri lakini ni mpaka vyombo vya ulinzi vikubali kutoa support
Hapo ndio penye mzizi wa tatizoVyombo vyenyewe vinaongozwa na jambazi wambura
ExactlyYawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
29march na 29oktoba wapi na wapi?Bado tuko kwenye haya maumivu na hatujakaa sawa badoView attachment 3562151
Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
Naunga mkono hoja maandamano hayo yahamasishwe misikitini, makanisani, masokoni ,vyuoni na kila pahalaYawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
Nikikumbuka 29 October natulia kwanzaNaunga mkono hoja maandamano hayo yahamasishwe misikitini, makanisani, masokoni ,vyuoni na kila pahala
Nyinyi maccm ni takataka 🚮Kuandika ni rahisi sana
nonsenseYawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
Watu wa posho utawajuwaHayo ni maandamano ya chadema unaweza kuandamana tu hata peke Yako lissu hamna anachonisaidia Mimi nisie chadema tusiusishane
Tangulia mbele ukaandamane lissu si ndugu Yako na unafaidika nae kupitia chademaWatu wa posho utawajuwa