MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Maandamano haramu yatadhibitiwa kwa wivu mkubwa kwa maslahi mapana ya Tanzania. Lissu mlisema anatoa somo la sheria mahakamani kwahiyo mwacheni aendelee kutoa hayo masomo. Hakuna mtu binafsi aliyewahi kushindana na serikali akashinda. Mnamjaza Lissu ujinga ndo maana anateketea gerezani.