Ulinzi au vya mauaji ?Wazo zuri lakini ni mpaka vyombo vya ulinzi vikubali kutoa support
2025 na 202629march na 29oktoba wapi na wapi?
Nendeni mkatolewe kafara kama walivyotolewa wale waloandamana October 29Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
Pamoja na kutopinga wazo lako, lakini kwa nini uyahusishe maandamano hayo na tukio moja tu la Tundu Lissu; wakati hali iliyopo sasa inawakandamiza waTanzania wote?Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
Vyombo vya ulinzi vyenyewe ndo CCM yenyeweWazo zuri lakini ni mpaka vyombo vya ulinzi vikubali kutoa support
Tena utavunjwa shingo kama mbuzi wa kafara na hakuna atakae shughulika na dam yako itayomwagwaPolisi wanalishwa na mama,wanajeshi wanakula kwa mama,ffu wanakula kwa mama....
Mimi nakula kwa nguvu zangu kama nitavunjwa shingo,tundu lissu hawezi kunipa hata 100 mbovu
😎🤓Tundu A lisu ANYONGWE
Watalazimishwa kutoa 'support' waTanzania wakidhamiria.Wazo zuri lakini ni mpaka vyombo vya ulinzi vikubali kutoa support
Ndio maana jukwa zima la Jf huwa wanakuambia akili yako imejaa matope.Pamoja na kutopinga wazo lako, lakini kwa nini uyahusishe maandamano hayo na tukio moja tu la Tundu Lissu; wakati hali iliyopo sasa inawakandamiza waTanzania wote?
Swala la Tundu Lissu acha lishughulikiwe katika taratibu za kimahakama. Itakaposhindikana huko; ni lazima CHADEMA na waTanzania wote walichukue na kulifanyia maamuzi nini kifanyike.
Kinachotakiwa sasa hivi ni kwa viongozi wa CHADEMA kutoliacha jambo hili lisipowe, hata huko huko mahakamani. kwa kutumia mbinu za kupoteza muda.
Ni lazima wafuatilie kwa karibu kila maamuzi yanayofanyika kuepusha ucheleweshaji usiokuwa na sababu.
Umesema "Maandamano Makubwa"; lakini hujaeleza chochote hayo maandamano yatapatikana vipi.
Hizi mada za rojorojo hazitaleta ufanisi wowote.
Nani atakayeitisha na kupanga hayo maandamano?
Wewe ndiye "jukwaa zima"?Ndio maana jukwa zima la Jf huwa wanakuambia akili yako imejaa matope.
Mahakama hizi ambazo hazipo huru zishughulikie suala la Lissu?
Kwani Oktoba 29 nani aliwaingiza wanannchi barabarani? Huwa unatumia nini kufikiri?
Kama hii mada ni dhaifu umeichangia ili iweje?Wewe ndiye "jukwaa zima"?
Mada zako zote unazoweka humu huwa hazina mwelekeo wowote. Huzipi maelezo, unabandika tu kichwa cha mada, na vielezo visivyolingana na kinachotakiwa kujadiliwa.
Nilishakupa dokezo hili, lakini naona unao upungufu mkubwa kichwani mwako, huwezi kuelewa chochote..
Hiyo habari ya "Mahakama kutokuwa huru" unalifahamu peke yako?
Hujui umuhimu wa kutimiza matakwa ya huko mahakamani kabla ya kulishughulikia swala kama hilo nje ya mahakama?
Kwa hiyo kuweka mada yako dhaifu hii hapa ndiko kutakakowafanya waTanzania wajitokeze kwa wingi kwenye maandamano; mada yenyewe ambayo haielezi wala kufafanua chochote?
Na bado utakuwa huelewi hata ukiambiwa mara ngapi!
Naunga mkono hoja hii, lakini ni ngumu kuitekeleza kutokana na ukatili wa vyombo vya Dola.Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
HahaNaunga mkono hoja, na hivi tuna nyongo ya mauaji ya ndugu zetu itakua vizuri
Shetani Rudi nyuma wewe ni kikwazoTunaomba wewe ndo uwe mstari wa mbele field na sio kwenye keyboard
Sawa, na wewe uwepo, tena mstari wa mbeleYawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.