MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Ukitaka kuharibu lete jambo lenu hili Misikitini. Mbona hamkupeleka Makanisani issue ya mashekh wa Uamsho?Naunga mkono hoja maandamano hayo yahamasishwe misikitini, makanisani, masokoni ,vyuoni na kila pahala
Sawa ingieni barabarani basiHakuna kurudi nyuma ni kusonga mbele tu
Tundu Lissu sio mhaini. Wahaini ni samia na genge lake
Na lengo lao ni kuingiza hofu kama uliyonayo sasa hivi ili waiuze nchi kabisa kwa ndugu zao waarabu
So tutakuwa tunaazimisha kila baada ya miezi mitano?2025 na 2026
Oktoba 29 mliwachochea jenzii wakafa kama kuku waliokumbwa na kifaduro asaiv jenzii wamesanuka hutawaona wanaandama kiboya boya!!Shetani Rudi nyuma wewe ni kikwazo
Tulia sie tupambanie nchiOktoba 29 mliwachochea jenzii wakafa kama kuku waliokumbwa na kifaduro asaiv jenzii wamesanuka hutawaona wanaandama kiboya boya!!
Kama kwenye keyboard nakubali mtapambana sana tu!!tulia sie tupambanie nchi
Na vyombo vya ulinzi ndio punda wenyewe maana kwa sasa ndio chama cha siasaWazo zuri lakini ni mpaka vyombo vya ulinzi vikubali kutoa support
October mlisema hivyo hivyo mremboo wanguKama kwenye keyboard nakubali mtapambana sana tu!!
Na 9 December tulisemaje na vip 25 December kilitokea nini?October mlisema hivyo hivyo mremboo wangu
Unataka kusemaje mamiloo?Na 9 December tulisemaje na vip 25 December kilitokea nini?
vipi d9?October mlisema hivyo hivyo mremboo wangu
Mo29 tulisema hivyo hivyo, na je d9 na d25 tulisemaje?Unataka kusemaje mamiloo?
Akili zako zimeishia hapo?Hujui lolote. Hii mada ndio njia muafaka ya kuhakikisha Lissu anatolewa gerezani.
'Option" ambayo waovu wanadhani haitatokea tena baada ya kazi waliyofanya Oktoba 29.Hii ndio option iliyobaki kwa sasa.
Unaona ulivyo mtupu kama Samia mwenyewe?Sawa, na wewe uwepo, tena mstari wa mbele