Yaitishwe maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza Tundu Lissu aachiwe

Safari hii hawatodhubutu kumwaga damu tena, ni mbinu sahihi ya kuliamsha dude Kwa pamoja inahitajika
 
Uchokonozi upi? Au wewe kwa sababu uwezo wa kupambanua mambo ni mdogo ndio unadhania ni uchokonozi. Hivi unadhani hili la maandamano haliwezekaniki?
 
Uchokonozi upi? Au wewe kwa sababu uwezo wa kupambanua mambo ni mdogo ndio unadhania ni uchokonozi. Hivi unadhani hili la maandamano haliwezekaniki?
WaTanzania waandamane kwa sababu 'Idugunde' kaweka hoja chovu kama hii JF?
Utakuwa unaelewa unachozungumzia wewe?
 
Hii hoja ni chovu au akili yako ndio chovu?
Ujumbe umekwisha kufikia, ni juu yako kujitafakari na kuelewa lengo la mada zako zisizokuwa na lengo zinamsaidia nani hasa.
Hapa humsaidii chochote Tundu Lissu na mada kama hii; sana sana ni kama unatafuta tu kuwaonyesha hao waliomweka gerezani kuwa wasihofu chochote kwa kufanya wanayofanya.

Hii siyo mara ya kwanza kukutahadharisha, na nahofu kuwa haitakuwa mara ya mwisho; maana ni kama unatimiza lengo ulilotumwa.
 
Nani huyo wa kuandamana ambae alimtuma Lisu kutunishiana misuli na Serikali?

Kama unafaidika nae kaandamane ni haki Yako.
 
wazo lako Zuri

anayetakiwa kuitisha nani ,tumejengewa ukusanyikaji kwa njia ya vyama au dini ,chadema iko na ping

Tusubirie ya dodoma kwanza unadhani serikali wJinga kusema chadema isikusanyike
 
Tatizo ni akili yako ndogo na elimu ndogo uliyo nayo ambayo haina tija kwako
 
Kila mara huwa nakuambia. Tatizo sio wewe bali ni ubongo wako ambao una uwezo kidogo sana kupambanua mambo
 
Tatizo ni akili yako ndogo na elimu ndogo uliyo nayo ambayo haina tija kwako
EEeeenHEEEEe!
"Elimu ndogo" au siyo?
Hiyo _akili ndogo" ndiyo uliyotegemea ijazie na kufafanua hayo maandamano utayaleta vipi ili waTanzania wayaunge mkono?
Na yawe mahsusi yakimlenga Tundu Lissu; bila kujali kuwa wapo na wataendelea kuwepo waTanzania watakaoingizwa magerezani kwa mtindo huo huo aliofanyiwa Tundu Lissu!

Kutokana na maandishi yako mengi humu JF, sina shaka yoyote juu ya kiwango cha elimu uliyonayo wewe. Unaweza ukawa na digrii hata moja ambayo kiwango chake ni cha chini sana.

Uliingia chuo mradi upate hiyo karatasi tu, lakini hukuambulia chochote cha maana kilichokujengea uwezo wako.
 
Kila mara huwa nakuambia. Tatizo sio wewe bali ni ubongo wako ambao una uwezo kidogo sana kupambanua mambo
Unaona sasa?
Mimi nisiwe tatizo; bali ubongo wangu ndio uwe tatizo!

Hiyo elimu inayothibitishwa na karatasi ulilopewa huko chuoni ndiyo inayothibitisha namna hii ya kufikiri?
 
Unaona sasa?
Mimi nisiwe tatizo; bali ubongo wangu ndio uwe tatizo!

Hiyo elimu inayothibitishwa na karatasi ulilopewa huko chuoni ndiyo inayothibitisha namna hii ya kufikiri?
Unajaza takataka humu ndani
 
Hakuna zaidi ya takataka kuliko mada za kipuuzi unazoweka humu kila mara bila ya tafakari yoyote juu yake.
Kama ni mada za kipuuzi. Unachangia ili iweje? Ubongo wako una uwezo mdogo sana wa kufikiria.
 
Kama ni mada za kipuuzi. Unachangia ili iweje? Ubongo wako una uwezo mdogo sana wa kufikiria.
"Uwezo mdogo" wakati wewe mwenyewe unaona 'critique' za upungufu wa mada unazoweka humu kutojitosheleza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…