Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,847
- 2,768
Ahsante sana bossYajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo
Habarini za jioni ya pasaka ndugu wana jamvi. Si mwandishi sana humu jamvini japo ni msomaji wa muda kidogo. Leo nimependa ku share jambo lilionipa msaada baada ya kuona watu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo. Binafsi niliumwa na vidonda vya tumbo kwa miaka mitatu...www.jamiiforums.com
ulimpata? vipi maendeleo mkuuAhsante mkuu
Kuna raia alikuwa kaniomba ngoja nitamuomba mrejeshoulimpata? vipi maendeleo mkuu
Jani la piliView attachment 1077610
Possible. Una kiharufu flani kama mint. Au pipi kifua.Kama sijakosea huu mmea Tanga unaitwa mzugwa.
Huwa unatumika hata kutibu homa na surua. Ukimfukukiza mgonjwa akitoka hapo kapona.
Huwa una uchungu fulani hivii.
Kama kweli ni mzugwa basi ni tiba ya magonjwa mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanaunganisha nyuzi hata zilizokuwa na mahitaji yana yogusa wengi kana kwamba ni biashara. Namba ni hiyo hiyo ukihitaji picha zaidi nistue kwa 0625680616Wana jamiiforums naomba msaidie kumpata yule member ambaye jana alikuwa akitangaza dawa ya vidonda vya tumbo na kuweka picha ya majani yake, kama yupo karibu namuomba pm au kama kuna mtu alichukua namba zake msaada please, ahsanteni
MrejeshoNashukuru kwa maelekezo mkuu, nasumbuka sana na vidonda vya tumbo. Kwa bahati nzuri mkoa niliopo sasa haya majani yapo kwa wingi sana nitayatumia na nitakupa mrejesho.
Uko sahihi kabisa hata kwetu upo kwa wingi