Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

Ahsante sana boss
 
Fursa ya utajiri hiyo,badala ya kukaa na degree yako mjini bila kazi,unaweza kujitoa mhanga kuyatafuta kwenye machaka,ukiyapata ujue kabisa umasikini bye bye...
 
Huo mmea wa kwanza ambao mbegu zake hunasa kwenye nguo common English name yake ni Devil's horsewhip.

Mmea huu ni jamii ya familia iitwayo Amaranthaceae. Kwa kilatini (Latin/ botanical name) mmea huu unaitwa Achyranthes aspera.

Tafiti zinaonesha kwamba mmea huu unaweza kutumika ktk tiba za magonjwa ya mifugo kama mbuzi na ng'ombe japo hazijaweka wazi kuhusu matumizi ya mmea huu ktk kutibu maradhi yanayowakumba binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana jamiiforums naomba msaidie kumpata yule member ambaye jana alikuwa akitangaza dawa ya vidonda vya tumbo na kuweka picha ya majani yake, kama yupo karibu namuomba pm au kama kuna mtu alichukua namba zake msaada please, ahsanteni
Jamaa wanaunganisha nyuzi hata zilizokuwa na mahitaji yana yogusa wengi kana kwamba ni biashara. Namba ni hiyo hiyo ukihitaji picha zaidi nistue kwa 0625680616

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalamu kutoka Muhimbili wamethibitisha kama yanaponya? Usije kunywesha watu sumu.
 
Nimeona majani yanayofanana na hayo majani aliotuonesha mdau

Nimeyapiga picha naomba niweke picha hapa ili kama ni yenyewe basi tutenheneze dawa
IMG_8878.jpg

IMG_8876.jpg

IMG_8874.jpg




Je ni haya maana nayo yana vimbegu vinavyokauka na kuwa kama vimiba vinavyonasa ktk nguo


Asanteni nawasubiri wadau
 
Asante sana Mkuu. Hata mimi na mama yangu tunahiyo shida ya vidonda vya tumbo. Na hilo jani la kwanza linaitwa mashona nguo yapo kibao maeneo ya nyanda za juu pia kama Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Tanga pia maeneo ya Mbeya yanapatikana hasa kwenye migomba yanaota sana. Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom