Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

Mkuu weka App ya Plantnet kwenye simu Yako,kisha piga picha huo mmea,kisha chagua identification by leaves, Halafu bonyeza kitufe Cha send ili kupata jina la huo mmea.
Una akili sana ndugu, ngoja. Nifanye hivyo nilitaka pia kufanya research majani haya na majina yake kwa kila kabila ili iwe rahisi kutoa maelezo, thanks ntakuja na jibu soon kama iki work out.
 
Hongera kwa uvumbuzi na kuuweka wazi. Wengine wangepiga pesa kimyakimya.
Mkuu, Unampa mtu namba bado anakuletea zengwe au anakwambia njoo inbox au nifuate WhatsApp. Kwani kuna kuwa na ugumu gani wa mtu kukutumia picha hizo ili hali umeshampatia namba!?!!!
Wanaleta janja janja za kale pale Edeni.
 
Mkuu weka App ya Plantnet kwenye simu Yako,kisha piga picha huo mmea,kisha chagua identification by leaves, Halafu bonyeza kitufe Cha send ili kupata jina la huo mmea.
Scientific name ya mashona nguo ni Bidens pelosa, hilo la pili bado nalitafuta japo app haijalitambua. Thanks for the help
 
Scientific name ya mashona nguo ni Bidens pelosa, hilo la pili bado nalitafuta japo app haijalitambua. Thanks for the help
Na hii miti pia mm naomba kuijua mana nimesumbuka sana lakini biden pilosa huku kenya naujua hushika nguo miba mweusi na naona huo mwengine n mnanaa japo mnanaa iko mingi tofauti kesho ntatuma picha ya huo wa pili mniambie nahitaji kusaidika pia
 
Kama kuna anayepata taabu na vidonda vya tumbo nitafte inbox nikupe no. kwa dawa hii usipopona basi wewe utakuwa na tatizo jingine.Kama mimi nimepona kwa nini wewe usipone.
Aki nitafute naumwa sana nisaidike whatsapp +254714052124
 
Kikombe cha chai mara moja kwa siku, dozi ni ya siku nne.

2041733_IMG_20161215_154658_1555858127415.jpeg

2467528_1595832964292.png
 
Back
Top Bottom