Una akili sana ndugu, ngoja. Nifanye hivyo nilitaka pia kufanya research majani haya na majina yake kwa kila kabila ili iwe rahisi kutoa maelezo, thanks ntakuja na jibu soon kama iki work out.Mkuu weka App ya Plantnet kwenye simu Yako,kisha piga picha huo mmea,kisha chagua identification by leaves, Halafu bonyeza kitufe Cha send ili kupata jina la huo mmea.
Mkuu, Unampa mtu namba bado anakuletea zengwe au anakwambia njoo inbox au nifuate WhatsApp. Kwani kuna kuwa na ugumu gani wa mtu kukutumia picha hizo ili hali umeshampatia namba!?!!!Hongera kwa uvumbuzi na kuuweka wazi. Wengine wangepiga pesa kimyakimya.
Kila siku inakuwa mpya, Hii ni burudani yetu.JF haijawahi kuchosha
Scientific name ya mashona nguo ni Bidens pelosa, hilo la pili bado nalitafuta japo app haijalitambua. Thanks for the helpMkuu weka App ya Plantnet kwenye simu Yako,kisha piga picha huo mmea,kisha chagua identification by leaves, Halafu bonyeza kitufe Cha send ili kupata jina la huo mmea.
Ok!!,NiceScientific name ya mashona nguo ni Bidens pelosa, hilo la pili bado nalitafuta japo app haijalitambua. Thanks for the help
Na hii miti pia mm naomba kuijua mana nimesumbuka sana lakini biden pilosa huku kenya naujua hushika nguo miba mweusi na naona huo mwengine n mnanaa japo mnanaa iko mingi tofauti kesho ntatuma picha ya huo wa pili mniambie nahitaji kusaidika piaScientific name ya mashona nguo ni Bidens pelosa, hilo la pili bado nalitafuta japo app haijalitambua. Thanks for the help
Kama n hili naona n mnanaa huondo gesi kuendesha hupena choo lainiNadhani ndio hili, sio?View attachment 1820487
Mimi mmoja wapo nilitumia hi miaka ishirini iliyopita na iliniponya TYPHOID KALI ambayo ilifikia ninaendesha damu mfululizo mkuu.
Lkn hayo majani ya aregano na haya mtu baki anatoa naona ya m2baki yana incha na aregano inakaa round mwishoHaya si ni yale yananukia kama dawa ya meno (kolgeti)
Kama kuna anayepata taabu na vidonda vya tumbo nitafte inbox nikupe no. kwa dawa hii usipopona basi wewe utakuwa na tatizo jingine.Kama mimi nimepona kwa nini wewe usipone.
Aki nitafute naumwa sana nisaidike whatsapp +254714052124Kama kuna anayepata taabu na vidonda vya tumbo nitafte inbox nikupe no. kwa dawa hii usipopona basi wewe utakuwa na tatizo jingine.Kama mimi nimepona kwa nini wewe usipone.
Nitafute mshipa +25414052124
Sasa jani lile la miba n lipi hapa
Blackjack (botanical name: bidens pilosa)Sasa jani lile la miba n lipi hapa
AsanteSasa jani lile la miba n lipi hapa