Yajue mafao ya viongozi wa kisiasa

Haya majangili yanagawana mali za umma
Mimi kila siku huwa nasema. Nchi yetu kama tungekuwa tunatumia pato la taifa kwa inavyotakiwa na kila mtu afanye kazi kwa bidii, tungekuwa mbali sana sana hata nchi za Ulaya zisingetufikia. Na haya aliyoandika mleta thread ni matumizi rasmi, bado yale ya kizani ambayo ni mengi zaidi....
 

Hicho cha mtoto, nenda Kenya, Uganda na Rwanda kama hutakimbia na kujificha Madaba!
 
Nimeandika nikafuta nikaandika tena nimefuta...Anyway haya yana mwisho wake hata kama sio leo
 
Ulafi tuu wa binadamu.

Bila shaka wameongeza hivyo Ili wenzao waliotengana kila mtu apate chake
 
Viongozi wetu wanatutwisha raia mizigo mizito mno.

Vv
 
Tukiangalia nchi nyingine yawezekana Tanzania ikawa na mafao madogo sana ,ndio ulimwengu wa wanasiasa ulivyo,una RISK kubwa RETURN ni kubwa pia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…