Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Bahati nzuri sote ni nyama ya aridhi na tukifa Hela zote tunaaza bank, ingekuwa tunaenda na Hela zote ingekuwa poA mbinguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wanampa Mil 50, 70 au 90 halafu anaambiwa zingine atapewa baadae 🤣🤣🤣
...na hujaongeza wa majeshi, mahakimu... Sasa hizo za wabunge zote wanapomaliza mudakw pamoja (393×250m/-=?) ni matirilioni mangapi? Yaani zinatoka kw mikupuo mingapi?! Halafu watu wanashangaa kila sk watu wakizunguka dunia na makopo mikononi wakiomba mikopo - ati kw niaba ya wananchi kuwaletea maendeleo(?) ...nk. Nafikiri tutaipata freshSheria - THE POLITICAL SERVICE
RETIREMENT BENEFITS ACT (Cap. 225)
RAIS:
Rais wa Tanzania akistaafu anapata mafao yafuatayo:
1. Pensheni ya kila mwezi ambayo ni sawa na ASILIMIA THEMANINI ya mshahara wa rais aliye madarakani.
2. Kiinua mgongo sawa na ASILIMIA HAMSINI ya mshahara wake wote aliopokea akiwa madarakani kama rais.
3. Akitoka nje ya nchi kwa shughuli ya Kiserikali atalipiwa ticket ya ndege FIRST CLASS, yeye, mwenza wake na msaidizi wake.
4. Diplomatic passport yake na mwenza/wenza wake.
5. Gharama za matibabu ndani na nje ya nchi.
6. Gari mbili zisizopungua uzito wa tani 3 na hubadilishwa kila baada ya miaka 5.
7. Nyumba kubwa ya kifahari isiyopungua vyumba vinne, servant quarter & ofisi (Nyumba ya kifahari).
8. Fedha ya maintenance kila mwezi ambayo ni sawa na ASILIMIA THEMANINI ya mshahara wa rais aliye madarakani.
9. Msaidizi
10. Secretary
11. Mtumishi wa ofisi
12. Mpishi
13. Mfua nguo
14. Kijana wa kazi
15. Mtunza bustani
16. Dereva wawili
17. Matumizi ya maeneo ya VIP
18. Gharama za mazishi
19. Gharama zingine pale Serikali itaona inafaa.
20. Ulinzi wake na wana familia.
NB: Sheria hii ni ya TZ Bara, upande wa Zanzibar wana sheria yao. Hii sheria inafanyiwa MABORESHO kuongeza mafao zaidi kwa rais na wana familia. Mjane wa rais anafaidika mno sijui kulikuwa na ulazima gani wa kumwongezea mafao mengine!
Sasa, haya ni mafao ya rais tu, wengine kwenye orodha ni Makamu wa rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, Naibu Spika, RC, DC & Wabunge. Wote hawa wanalipwa mafao makubwa. Imagine, wabunge 393 uwalipe kila mmoja TZS 250M!
Je, unajua Spika mstaafu anapokea LITA 70 za mafuta ya gari kila wiki mpaka atakapofariki?
Haishangazi hata, wenye nchi hao.Sheria - THE POLITICAL SERVICE

YesWalimu askari mgambo manesi nao SI wanapewa mafao??
Wehu KabisaNchi ya wendawazimu
Ametuweza SanaKuna mke kiongozi mmoja mstaafu ndio alikuja huu ujinga.....yasni hata huelewiii tamaa ganii hii nchi masikibi kama hii ?
Majizi Tupu Huko CCMUkweli hatuna viongozi tuna majangili tupu nchi hii
Yanaiba mali za umma haswaMajizi Tupu Huko CCM