Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HatarSheria - THE POLITICAL SERVICE
RETIREMENT BENEFITS ACT (Cap. 225)
RAIS:
Rais wa Tanzania akistaafu anapata mafao yafuatayo:
1. Pensheni ya kila mwezi ambayo ni sawa na ASILIMIA THEMANINI ya mshahara wa rais aliye madarakani.
2. Kiinua mgongo sawa na ASILIMIA HAMSINI ya mshahara wake wote aliopokea akiwa madarakani kama rais.
3. Akitoka nje ya nchi kwa shughuli ya Kiserikali atalipiwa ticket ya ndege FIRST CLASS, yeye, mwenza wake na msaidizi wake.
4. Diplomatic passport yake na mwenza/wenza wake.
5. Gharama za matibabu ndani na nje ya nchi.
6. Gari mbili zisizopungua uzito wa tani 3 na hubadilishwa kila baada ya miaka 5.
7. Nyumba kubwa ya kifahari isiyopungua vyumba vinne, servant quarter & ofisi (Nyumba ya kifahari).
8. Fedha ya maintenance kila mwezi ambayo ni sawa na ASILIMIA THEMANINI ya mshahara wa rais aliye madarakani.
9. Msaidizi
10. Secretary
11. Mtumishi wa ofisi
12. Mpishi
13. Mfua nguo
14. Kijana wa kazi
15. Mtunza bustani
16. Dereva wawili
17. Matumizi ya maeneo ya VIP
18. Gharama za mazishi
19. Gharama zingine pale Serikali itaona inafaa.
20. Ulinzi wake na wana familia.
NB: Sheria hii ni ya TZ Bara, upande wa Zanzibar wana sheria yao. Hii sheria inafanyiwa MABORESHO kuongeza mafao zaidi kwa rais na wana familia. Mjane wa rais anafaidika mno sijui kulikuwa na ulazima gani wa kumwongezea mafao mengine!
Sasa, haya ni mafao ya rais tu, wengine kwenye orodha ni Makamu wa rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, Naibu Spika, RC, DC & Wabunge. Wote hawa wanalipwa mafao makubwa. Imagine, wabunge 393 uwalipe kila mmoja TZS 250M!
Je, unajua Spika mstaafu anapokea LITA 70 za mafuta ya gari kila wiki mpaka atakapofariki?
Kikokotoo ni kilio kikubwa sana kwa watumishi wa umma mie na mzazi wangu tunaadhirika over 30 years of services mshahara mdogo wa dereva nikapigwa kikokotoo pale ni maumivu sana naona naenda kumpoteza mzee kwa preshaHuku amewekewa kikokotoo hali iliyopekea watumishi kupewa mafao kiduchu ambayo hayawezi kumfanya huyo mtumishi asurvive miaka ya kutosha ili aje apate mkupuo unaofuata.Unyanyasaji na uporaji mafao ya wastaafu wetu kwa kisingizio cha kikokotoo lazima ukome
"If you look at their mode of life and their lifestyles in general, you can observe that Blacks are born with a situation like an half-mad mentality and mindsets."haki ningeulizwa kabla ya kuzaliwa nisingekubali kuzaliwa mtu mweusi. kuzaliwa mtu mweusi ni laana kubwa sana.
Hayo mafao hata yakipunguzwa hayajengi hata KM 2 za lami, alisikika mshamba mmoja.Ulafi tuu wa binadamu.
Bila shaka wameongeza hivyo Ili wenzao waliotengana kila mtu apate chake
🤣Na bado wanaiba. Ngozi nyeusi ina laana si bure!
Ha..ha Kauli za akina mwashamba, hizo.Hayo mafao hata yakipunguzwa hayajengi hata KM 2 za lami, alisikika mshamba mmoja.
Na bado wanaiba. Ngozi nyeusi ina laana si bure!
Mshahara wa mwanasiasa mwezi mmoja ndio mafao ya mwalimu aliyetumika miaka 37Walimu askari mgambo manesi nao SI wanapewa mafao??
Wewe jamaa achana na dada yetu chuki za kisengerema peleka kwenu.Halafu Salma Kikwete anataka alipwe na yeye mafao na wabunge vilaza wameafiki. Namchukia sana Salma Kikwete kama ninavyomchukia shetani
Hili ndilo shida...Ila kuhusu mafao hayo wala si makubwa ki hivyo kama wangekuwa wanaishi ahadi na viapo vyao. Tatizo ni kupewa hayo yote na bado hawaridhiki Wana iba na kufanya mambo maovu Kwa faida binafsi wala si nchiNa bado wanaiba. Ngozi nyeusi ina laana si bure!