Yajue mafao ya viongozi wa kisiasa

Malaya mlafi yule
 
Wasaa waja wa kusaga meno.
Si mbali naam si mbali kabisa.
 
Pia watanzania wengi wamesha laanika kwa upumbavu, Hawawezi kuwachukulia hatua yeyote viongozi.

Kutwa kucha kuwasifia viongozi na kujikomba komba..
Kwa hii katiba ya kijinga ya kuishi kwa huruma ya mtu badala ya sheria na taratibu hata ukiteuliwa wewe utakuwa unashinda unasifia pekee, angali Kitila Mkumbo, Polepole, Bashiru, Prof wa jalalani n.k
 
Reactions: Ame
Na hapo ni mafao ya miaka 10 kwa awamu mbili....
Ila kuna mtumishi kafanya kazi zaidi ya miaka 30 mafao yake kupata ni sarakasi, na hicho kidogo anachostahili bado eti apewe kidogo kidogo[emoji22]
Huku amewekewa kikokotoo hali iliyopekea watumishi kupewa mafao kiduchu ambayo hayawezi kumfanya huyo mtumishi asurvive miaka ya kutosha ili aje apate mkupuo unaofuata.Unyanyasaji na uporaji mafao ya wastaafu wetu kwa kisingizio cha kikokotoo lazima ukome
 
mtu mweusi sio poa . hizi benefits unaweza ona niza rais wa nchi za magharibi kumbe ni subsaharan country.

bado za mipigo aiseeh
 
daaah kumbe ndo maana hii nchi ngumu sanaaa asee kuna sehemu nyingi sanaaa zinavujaaa #tunatakakatibampya
 
Yaani binafsi nafikiri mshahara wa Rais kwa mwezi unaweza kujenga kituo kimoja cha Afya chenye hadhi ya nyota Tano na hadi kukamilika na vitendea kazi.
 
Hii nchi basi tu yani... Ila MUNGU atujaalie uzima ipo siku tutapata wazarendo wakweli kwenye uongozi na kubadili katiba iliyopo.
 
Kwa malezi yote haya lakini bado wanashiriki vitendo vya kifisadi wakiwa madarakani na hata wanapokuwa wastaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…