Yajue mafao ya viongozi wa kisiasa

Hatar
 
Aisee, hii ni hatari sana. Na bado wenza imepita? Mtatuua wakuu mtaani pagumu sana
 
Kikokotoo ni kilio kikubwa sana kwa watumishi wa umma mie na mzazi wangu tunaadhirika over 30 years of services mshahara mdogo wa dereva nikapigwa kikokotoo pale ni maumivu sana naona naenda kumpoteza mzee kwa presha
 
haki ningeulizwa kabla ya kuzaliwa nisingekubali kuzaliwa mtu mweusi. kuzaliwa mtu mweusi ni laana kubwa sana.
"If you look at their mode of life and their lifestyles in general, you can observe that Blacks are born with a situation like an half-mad mentality and mindsets."
Jan Smuts, a first Prime Minister of Union of South Africa during the Apartheid era.
 
Hii nchi inatafunwa na wachache, then uniletee ujinga wa uzalendo!!! Nefaaaaa.
 
Wengine Wastaafu wape Kikokotoo wakafie Mbali, Mifuko itafilisika ukiwapa Stahiki zao. Huko Nyuma haikufilisika ni 2022 na kuendelea . Katambi anasema hiyo 37m ya Mkupuo after 36 years of Service ni Kubwa Sana na ina Faida.
 
Kama mafao na malupulupu ndio hayo basi nakusudia kugombea nafasi ya Urais wa nchi na naomba Mungu anisaidie ili ndoto yangu itimie
 
Hatar sana huko mikoani wanafunzi bado wanakaa chini
 
Huku wastaafu wanahangaikia pensheni zao hadi wanapoteza maisha
 
Halafu Salma Kikwete anataka alipwe na yeye mafao na wabunge vilaza wameafiki. Namchukia sana Salma Kikwete kama ninavyomchukia shetani
Wewe jamaa achana na dada yetu chuki za kisengerema peleka kwenu.
 
Mafao yote hayo lakini bado wanaiba awatosheki
 
Na bado wanaiba. Ngozi nyeusi ina laana si bure!
Hili ndilo shida...Ila kuhusu mafao hayo wala si makubwa ki hivyo kama wangekuwa wanaishi ahadi na viapo vyao. Tatizo ni kupewa hayo yote na bado hawaridhiki Wana iba na kufanya mambo maovu Kwa faida binafsi wala si nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…