Yajue Maisha yalivyo jela

Kitendo Cha kukuona tu utakuwa ume mfariji Sana

Na kingine ukienda kumtembelea mtu jera haji kuku sahau

Na ukimtupa mtu jera haji kuku sahau pia hata Kama ata kusamehe
Asante hapoo nikimuonaa tuu machozi yanitokaaa...nashindwaa hata kuongea naeee...niliposoma hii story nikamkumbuka sanaa jmosi lzma nikamuonee...hivi zile pesa tunaziacha Kwa maafande huwa zinawafikia kweli?
 
Swali moja rahisi ulikua mfungwa au maabusu?. Ukijibu utajua ulipozingua. Kwa wiki naenda hayo maeneo mara tatu hadi nne, najua ninachokisema.
 
Kuna mwamba alikuwa anahadithia maana yeye alifungwa huko tanga, anasema mkienda shambani kama majembe yapo 20 anabeba mtu mmoja. Mkishika kila mtu lake mnaambiwa mnataka kuua askari?
Kingine alisema askari anaweza uliza nondo zipo ngapi kwenye dirisha, ukitaja idadi kamili utakula kichapo maana wewe unataka kutoroka.
Muda wa kulala ni saa 9 alasiri, na pale tarehe y siku inabadilishwa.
Alisema mambo mengi sana, japo alitoka kwa msamaha wa rais baada ya kukaa miaka 2 kati ya 15 aliyopigwa.
Mungu atuepushe ndugu zangu.
 
Hao viongozi wa dini wakati wa ibada hawakemei ushoga?
Kazi kubwa kwa watumishi hao nikuwA tia moyo wafungwa waliopo jera

Na kuwaonya juu ya kutubu dhambi zao na kuwa watu wema

Lakini pia hukemea Mambo hayo

nakingine sio wote huingia kwenye mitego ya manyampala niwachache hudumbukia huko

Ili kujilinda na njaa na maisha magumu ya jera mkuu
 
Jera pana mashariti ya ajabu Sana mkuu

Mnaweza pewa karanga mmenye na mnanjaa ole wako ulushie hata kidogo mdomoni utaisoma😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…