Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

Baadhi ya makabila hapa nchini majina yao yananishangaza,nikianza na

1. Wangoni - wao wameamua kuchukua majina yoote ya wanyama wa porini- mfano nguruwe, mafisi, mapunda
2. Wajita - hawa nao samaki wote wa ziwa victoria wameamua kuwa majina yao, mfano, sato, nyafuru, nyamumi, nyambofu,
3. Wamakonde - hawa nao vifaa vyote vya baiskel ni majina yao mfano - chipoku, kengele, pedeli, chukani

Sasa nawauliza walengwa ina maana majina yaliisha au wakaamua wafate hayo majina, naomba kujua.
 
Kama ujui kitu bora unyamaze labda uwe unaleta utani kwa wamakonde hapo sio kabisa alafu wale majina yao hauapo common kama makabila mengine kuwa ukisikia fulani utajua huyu anatokea mkoa gani kwa wamakonde ni vigumu sana maana kila mtu anatumia ubin wake mwenyewe.
 
Baadhi ya makabila hapa nchini majina yao yananishangaza,nikianza na


2. Wajita - hawa nao samaki wote wa ziwa victoria wameamua kuwa majina yao, mfano, sato, nyafuru, nyamumi, nyambofu,
.

Wajita kwa kweli wanavunja rekodi,majina yote yanayohusu mboga ni yao,mafuru,makongoro,manyama,masamaki,manofu,magido,nk
 
Pia kule nyumbani tuna Elikana, Elikunda, na Eli kibao hii inaonyesha ni kivipi tunampa Mungu kipaumbele.
 
na wenzetu akina nshomile, rugaibamu, rugashoborola, rutashobya, rweyemamu, rwegalulila, rugaiganisa, rwabukoba
 
WANYAKYUSA- MWAITAKOTAKO WAPUMBUJEJE, MWASAKAJOKA TYUTYUFYE...MWAKIJAMBILE MWAKITOBO.,MWAIPUMBUJA., tupia mengne ya wanyakyusa
 
Mkanusu,mkasara,mkashida,masumbuko,mkaboo yn mnanip raha utamu.
 
Back
Top Bottom