Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu British
Woodgate = Geti la Mbao
Smith = Mhunzi
Beckham = Beki mwenye hamu
Campbell = Kengere ya Kambi
Southgate - Gate la Kusini
Mills = Msagaji
Baadhi ya makabila hapa nchini majina yao yananishangaza,nikianza na
2. Wajita - hawa nao samaki wote wa ziwa victoria wameamua kuwa majina yao, mfano, sato, nyafuru, nyamumi, nyambofu,
.
Cheka xaaaana bro,kwikwikwiWanyakyusa lazima yaanze na( mwa) mfano mwakijambile, mwakimshuzi,mwakimpumbu ,nk
Rombo kuna Ukoo wa Mboro..
Bila kusahau masenge
hahahaaa, dah dunia hii, mfano mtoto anaitwa kichwacha, inamaana ataitwa kichwacha mboro, Mungu samehe hii mutuRombo kuna Ukoo wa Mboro..
WANYAKYUSA- MWAITAKOTAKO WAPUMBUJEJE, MWASAKAJOKA TYUTYUFYE...MWAKIJAMBILE MWAKITOBO.,MWAIPUMBUJA., tupia mengne ya wanyakyusa