Yajue majinafumbo ya Marais wa Marekani wanayopewa na Secret service

Basi sawa
 
Kumbe kwenye Jukwaa hili siku hizi kuna mizaa mizaa?
 
Hujui cyclone ni nini na hufanya nini? Kwa tafsiri cyclone ni kimbunga.Huyo mtu naona ana tabia za kimbunga katika utendaji wake.

Mi ninavyojua kimbunga kinazuka na kuibuka ghafla sasa mbona hakuna mahusiano ya kitabia na huyo unaemtaja
 
Nyongeza tu hata hizo passkeys ama passcodes huwa zinabadilika mara kwa mara. Hata hiyo uliogundua ya Trump huenda imekwisha badilika kitambo kabisa.
 
hebu tujikumbushe nick names walizopewa Marais wetu Tz...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…