Yajue Makabila Yanayopatikana Tanzania Visiwani ( Zanzibar )

sasa naona mnatafuta balaa kwanini mnatusemasema sna sisi wazenji? nyie mliona wapi visiwani tukawa na kabila kwetu ss ni state tu
 
Kuna a kina mwita. Marwa. Chacha na matiko. Wako makunduchi. Lakini hawajui mwanzo wa majina yao kuwa ni wakurya! Tena hawataki kusikia!
 
Kuna taarifa kwanza Zanzibar hakuna makabila kama ilivyo Tanzania Bara, je nini kimepelekea hivi au ndio mambo ya kutawaliwa na Mwarabu? Wazenji wote wanaongea kiswahili hila kwa lafudhi tofautitofauti.

Wakuu nini kimepelekea Zanzibar kutokuwa na makabila kama bara?
 
Ukubwa wa Zanzibar ni sawa na ukubwa wa Tandale!
 

Aliyekuambia hakuna makabila ni nani?? Una elimu gani wewe? ..hukusoma shule kuhusu visiwani na wenyeji wake? Watumbatu, washilaz, wapemba nk!! Hata wanyamwezi wapo!! Kama hukuwahi kusikia makabila huko basi jua hakuna ukabila ila makabila yapo!! .umeelwa we mbwiga na ukabila wako??
 

kama yapo yataje hapa
 

Wapemba : pemba
Watumbatu : tumbatu
Washilazi :shilazi.
Naona tunatajiwa sehemu watokazo Wakati mada inataka kabila.
Je nasi tuseme hivi.
Watabora _ tabora
Wadodoma _ dodoma
Waarusha _ arusha.
?????
 
Wapemba : pemba
Watumbatu : tumbatu
Washilazi :shilazi.
Naona tunatajiwa sehemu watokazo Wakati mada inataka kabila.
Je nasi tuseme hivi.
Watabora _ tabora
Wadodoma _ dodoma
Waarusha _ arusha.
?????

mkuu nashukuru umenisaidia kumuuliza huyu kalagabaho, naona hajaelewa mada
 
Wamegundua kuendekeza ukabila ni upumbavu. Kwa hiyo wametupilia mbali upuyzi huo,wao hujirambulisha kwa Uzanzibari wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…