Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

Nashukuru unatutambua
 
Kuna kocha huko kanda ya ziwa walimuua kwa kumkatakata mapango kichwani asee iliniuma sana aliacha watoto wadogo
 
Mkulya mi simuhesabu kama binaadamu Wala siwezi interact nae.kuna mmoja O-level nlikuwa nampiga sound mdogo wake wa kike,masela si wakamtonya aloooo alinivizia natoka school alinitwanga mwili mzma na lifimbo likubwa kama anaua mwizi .Nilipocholopoka wiki mbili sikwenda school nauguza majeraha na kutafakari ile situation 2007
 
Ukome kutongoza watoto wa watu🤣🤣
 
Kwa Wakurya ni heshima sana binti yao kuolewa kisheria "sio kuendesha chombo cha moto bila leseni"
 
Wakurya wa Kitunda wanauza Maziwa na Mayai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…