Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

Taarifa rasmi ya WB ni kwamba HIPC na Multilateral Debt Relief Initiative (MDRI) zimewezesha kusamehewa kwa deni la kiasi cha $100 billions kwa jumla ya mataifa 37, 31 yakiwa ya Africa.
Bila Mrusi kuanza kutusamehe hao wasingefanikiwa...Mpaka hapo mchango wa Mrusi ni 💯
 
Kuna video niliona humuhumu Jf nadhani ya Raisi T-shekedi T-shilombo Felix akimjibu Emmanuel Macron kuhusu swala la amani/vikundi vya kigaidi nchini Kongo nalawama akimpa Macaroni

Sasa hapo sijui ipoje maana inaonesha anajua au Antonee shilombo Raisi wa Kongo alikuwa na mihemko tu
 
Bila Mrusi kuanza kutusamehe hao wasingefanikiwa...Mpaka happy mchango wa Mrusi ni [emoji817]
Hii ni mipango iliyoanza mwaka 2005 wakati huo hata Urusi ilikuwa inakopeshwa na World Bank.
 
Nigeria inailipa Marekani kiasi gani kwa malipo ya ulinzi na inapata kiasi gani katika mauzo yake ya Mafuta?
 
Hii ni mipango iliyoanza mwaka 2005 wakati huo hata Urusi ilikuwa inakopeshwa na World Bank.
Nenda kaajiriwe nao utuache sisi na warusi wetu tulikomboe hili bara Kwa mara ya pili
 
Refinery unazozisemea wewe anazomiliki dangote kwa uwezo na ubora ni kama izi machine zetu za kukamulia mafuta ya alizeti ivi unajua kuwa na sisi tulishawai kuwa na Refinery yetu kama iyo ya Dangote pale bandarini? Ngoja nitulie vizuri nikupe darasa naona bado unaitaji kuelimishwa zaidi.
 
Nigeria ina refineries nyingi tu na ya kwanza in Port Harcourt Refining Company iliyojengwa mwaka 1968, mwaka huu Dangote amefungua Refinery kubwa zaidi barani Africa huko kwao Nigeria.
 
kuna sehemu amesema kwamba US anategemea mafuta kutoka Nigeria??
 
Refinery ya Dangote ndio kubwa zaidi Africa.
 
siku moja moja uwe unatumia akili ww!!!...yaani ww kila linalosemwa jema kuhusu Russia ni lazima utafute kitu cha kupinga...mtoa mada kaelezea vzr sana...inayotafutwa ni new route ya kuutoa mzigo Russia-St Petersburg...na kuufikisha popote pale duniani kwa Wahitaji....hiyo SAHEL ROUTE mpya hailezei kwamba mzigo wa Mrusi utapelekwa Mali/Niger/B-Faso...hiyo ni route ya kuweza kuzifikia nchi nyingine duniani ....
au kwa mtazamo wako ni wapi mtoa mada ameongea kwamba biashara itakuwa ni kati ya Russia na hizo Sahel Regions???

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Unajua ukanda wa Sahel unajumuisha nchi zipi na maeno gani ya baadhi ya nchi??
 
Mtu mwenye akili timamu akisikia hii kauli kwamba Urusi inapitisha mizigo Sahel route ili kuzifikia nchi nyingine duniani atacheka sana.

Sijui kama unafahamu Sahel Ukiachilia mbali huo ni ukanda wa jangwa kali pia ni eneo lawlessness la wanamigambo, waasi na majambazi.
 
Hao West wameshawahi kutupa Tech ipi..??...zaidi ya dawa za kufubaza virusi vya HIV na CONDOM wakati hiyo HIV wameitengeneza wenyewe na kutuletea ss...hv Waafrica mkoje nyie...hv anaekupatia mbolea ukalime ujikomboe na njaa....Silaha na maarifa ya kujilinda dhidi ya West wanaokesha wakituibia resources zetu...yupi ni bora...???
Madini yote hapa Tanzania yanakombwa na West bure kabisa....Gesi yetu ya Lindi huko nayo yote washachukua yaani bure kabisa...anatokea mtu kutusanua jinsi ya kujikinga ww Yoda et all mnakesha humu kumponda kwamba hafai...aisee!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Nigeria ina refineries nyingi tu na ya kwanza in Port Harcourt Refining Company iliyojengwa mwaka 1968, mwaka huu Dangote amefungua Refinery kubwa zaidi barani Africa huko kwao Nigeria.
Iko sehemu gani na inaitwaje iyo Refinery? Wanasiasa wenyewe wa NIGERIA wamesema ile ilikuwa ni siasa tu na fedha zenyewe za kujenga iko kiwanda ni USD 20B na izo fedha alitaka akakope uko uko WB sasa cha kujiuliza ni iki serikali ya NIGERIA imekosa Dola billion 20 ya kujenga iko kiwanda au wamekosa mwekezaji wa kuwekeza izo fedha NIGERIA kwa population yao na GDP yao?
 
Taarifa rasmi ya WB ni kwamba HIPC na Multilateral Debt Relief Initiative (MDRI) zimewezesha kusamehewa kwa deni la kiasi cha $100 billions kwa jumla ya mataifa 37, 31 yakiwa ya Africa.
Unaweza kuyataja ayo mataifa?
 
Iko Lekki,
ilianza kujengwa mwaka 2017 na ikamalizwa mwaka 2023,
Inaitwa Dangote Refinery.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…