Mleta uzi ni vyema ukafahamu GDP ya Niger, Mali na Burkinafaso kwa pamoja ni ndogo kuliko hata ya Tanzania, Urusi pamoja na kuwa sio smart sana kwenye masuala ya Uchumi haiwezi kuhangaika na kuzungusha mizigo kwa reli, majini-caspian sea, reli-Iran, majini-Arabian sea, reli/barabara- Djibouti/Ethiopia, Sudan au Egypt kuwapelekea wachovu wa Sahel. Huo mzigo utafika umechoka sana na hata masikini huko hawataweza kununua hiyo ngano kwa bei itakayowafikia nayo.
Itoshe kusema wewe ni maamuma wa global logistics na supply chain.