Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

Maraisi na viongozi wote wa Africa wanajua A to Z kinachofanyika shida ndio ilikuwa ni nani atamfunga paka kengele baada ya ujio wa Russia ndio tumeona watu wanaanza kuamka ..
 
Reactions: Ame
Lini serikali ya Nigeria ilikuambia inataka kufanya biashara ya Refinery ya mafuta??
Mwekezaji ndio huyo Dangote amepatikana.
Alivyopanga kuzipata na alivyozipata hizo pesa za kujenga hiko kiwanda ni suala lake binafsi mradi sio pesa chafu.
 
Uyu jamaa ni mweupe kichwani hana analolijua
 
Urusi haitupatii mbolea au silaha bure, tunanuna kwa pesa zetu.
Teknolojia sio lazima uletewe mitambo nchini kwako. Kuna Waafrika wengi tu wamesoma vyuo bora kabisa Marekani na Ulaya kwa scholarships, tatizo tofauti na wenzao Wachina au Korea Kusini wao walibweteka na kutoitumia knowledge waliyopata huko.
 
Unajua waasi,majambazi na wanamigambo wameletwa na nani apo? Unakumbuka maharamia waliokuwa wanateka meli somalia nani alikuwa anawafund? na kuwapa silaha na kwa madhumuni gani?
 
Magaidi wanapatikana sehemu zenye Yao
Hata wale wa msumbiji wanapatika maeneo yenye hazina kubwa sana ya madini
 
Unajua waasi,majambazi na wanamigambo wameletwa na nani apo? Unakumbuka maharamia waliokuwa wanateka meli somalia nani alikuwa anawafund? na kuwapa silaha na kwa madhumuni gani?
Hawajeletwa na yeyote, hapo ndio nyumbani kwao wamekuwa wakiishi miaka yote.
 
Uyo YODA ni mweupe kichwani wala asikuumize kichwa anasema RUSSIA awezi kuisaidia Africa je WEST ambao mpaka muda huu wameisadia nini africa zaidi ya kuwafanya kuwa maskini na omba omba tu
 
Refinery ya Dangote ndio kubwa zaidi Africa.
Mbona unalinganisha na Africa badala ya say Saudi Arabia? Unavyoambiwa hizo ni kama vile viji mashine vyakukamua alizeti huelewi kipi?
 
Kwahiyo Africa tuish kwa kumtegemea mtu mmoja ambae n Putin vip akifa shithole countries hiv hatuwez shikamana kama Africa
 
Mbona unalinganisha na Africa badala ya say Saudi Arabia? Unavyoambiwa hizo ni kama vile viji mashine vyakukamua alizeti huelewi kipi?
Plant ya ku refine mapipa 650,000 kwa siku sio sawa na mashine ya alizeti, Refinery kubwa zaidi duniani iko India inazalisha mapipa milioni 1.2 kwa siku.
 
Maraisi na viongozi wote wa Africa wanajua A to Z kinachofanyika shida ndio ilikuwa ni nani atamfunga paka kengele baada ya ujio wa Russia ndio tumeona watu wanaanza kuamka ..
Africa inahitaji ulinzi tu dhidi ya hao mabeberu wengine, ikihakikishiwa (which Russia is offering that) the rest will be history...Maana hata wao hawana kingine zaidi ya majeshi yenye nguvu na nuclear power basi...Kwanza Kwa sasa hata akili tunawazidi Kwa mbali sana...Hatuna tu wakutulinda kwakua walituwahi mapema kutudhibiti...Ni kama umfunge Tyson Kwa minyororo kisha umpige ngumi za haja bila yeye kujitetea udai kuwa eti wewe unamzidi huyo mwanamasumbwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…