Yajue masuala mbalimbali kuhusu Biashara ya kuuza Juisi ya matunda ya aina mbalimbali

Tumsamehe,moderators nafikiri wataunganisha uzi
 
Ulifanikiwa??
 
Juicer kazi yake ni kutengeneza juice bila kusaga, yenyewe inakamua juice kutoka kwenye matunda. Inatoa juice sehemu yake na mabaki ya matunda sehemu yake.
Bei ya Juicer imara ikoje mkuu!
 
Hio kuponda ponda bila kusaga ndio kitu gani sasa? Mbona haieleweki
 
Juicer nzuri kwaajili ya biashara ni hizi commercial electric vegetable/fruit juicer.

Ni imara na hazisumbui kama zile za majumbani. Bei yake ni 1,400,000/=
 
Attachments

  • Commercial-Fruit-Juicer.jpg_300x300.jpg
    6.8 KB · Views: 73
Za majumbani zinazumbua kivipi? Ila hiyo bei mkuu yani 1.4M kabisa??? Huo ni zaidi ya mtaji

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna dada mmoja alianza na kuuza lita 5 mpaka kumi. alianza kwa kutumia madumu pamoja na glass za kawaida.
Za majumbani zinazumbua kivipi? Ila hiyo bei mkuu yani 1.4M kabisa??? Huo ni zaidi ya mtaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Za majumbani sio commercial kama ni biashara jaribu kutafuta kamtaji na uwe na vitu vifuatavyo

1. Blender yenye nguvu heavy duty. ukipata Kenwood Original (ok)
Hizi za kichina hazidumu na zinapata moto haraka na kuzima zima.
2. Juicer ambayo ni heavy duty ama kama unatumia za majumbani basi tumia Kenwood JE730 hii bei yake ipo chini ya hizo za commercial; bei ya keenwwod Je730 ni kati ya tsh 450,000/= na 490,000/=

Hii ni ya nyumbani ila inauwezo mkubwa hata kwa biashara ndogo inafaa.
 
Shukrani mkuu, ila hii naona ni centrifugal juicer. Vipi ilio bora kwa upande wa cold press juicer ni ipi kwa range hiyo hiyo ya bei?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu, ila hii naona ni centrifugal juicer. Vipi ilio bora kwa upande wa cold press juicer ni ipi kwa range hiyo hiyo ya bei?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni
Shukrani mkuu, ila hii naona ni centrifugal juicer. Vipi ilio bora kwa upande wa cold press juicer ni ipi kwa range hiyo hiyo ya bei?

Sent using Jamii Forums mobile app

1. Centrifugal juicer

2. Masticating / Cold Press juicer

Hii ni masticating ama Cold press ya nyumbani. ila ipo ya commercial ila ni bei sana.
 
Attachments

  • Masticating-Juicer.jpg
    31.6 KB · Views: 77
Shukrani mkuu, ila hii naona ni centrifugal juicer. Vipi ilio bora kwa upande wa cold press juicer ni ipi kwa range hiyo hiyo ya bei?

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani sijajibu swali lako vizuri. Cold press yenye kiwango cha ubora kama Hii ya Cetrifugal ya Kenwood.
Cha msingi Jina la kampuni liwe kubwa. Maana wanatumia ubora wa hali ya juu katika kutengeneza vitu vyao, ila wapo wanaocopy jina na kuweka ubora wa chini. cha msingi wasiliana na anekuuzia na uangalie kwa makini maana hata anaeuza unaweza kukuta hajui chochote.

Halafu hizo nilizoweka zipo hapa hapa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…