TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Anatuchora....!Mkuu wewe ni member since 2008
Kifupi una miaka 10 JF
Naishia hapo.
halafu hizi ID za kuanzia 2006-2009 kuwa makini nazo !
Pia cha kushangaza ana posts 1600 na ushee kwa miaka yote hiyo...kuna namna! Aweza siwe mJF wa kawaida. Si maanishi ni 'bot'!!