Oh Maaammmah! Hivi uliyoniambia jana ni kweli??
natafuta wachawi wakuloge.. Yaani mie ndo ninafanya hivi..? babe Paloma nikiua mtu utanielewa nadhani..
mi sijaeleweka
kisa nilikataa out yako nikawa
benet na my lovely loya?we si ulikua na Paloma!
We mdanganye tu wakati ukiwa naye bado unanikumbuka. Ye mwenyewe yuko bize na vichenchede vyakeNije nikupitie sasaivi babe twende tukapate nap? Eish nimekumiss tayari...
hizi ni habari za uzushi.. nilikuwa na babe wangu Paloma chama na mogela throughout pasaka.. kwa hiyo Passion Lady bado hueleweki.. pasaka ulikuwa lonely..
ziko habari za uhakika hapa kwamba ulitishiwa nyau na Safari_ni_Safari..
Arabela anaona so kuja kulijadili hili.. maana inawezekana pasaka yote alikuwa anda influense.. sijui ya nini lakini..
We mdanganye tu wakati ukiwa naye bado unanikumbuka. Ye mwenyewe yuko bize na vichenchede vyake
Afu mwenyewe chapombeeeeeeeee
ha ha ha Asprin.. wa juu huyo ni saudari.. halafu huyu wa chini ni Safari_ni_Safari tipikali kabisa.. duuh.. unataka kutufaninisha na hao.. mwangalie Passion Lady alivyolegeza macho.. saudari kwa ubua kabisa..
Pole kwa yaliyokukuta juzi.....nakusetiri sitoyasema
We uganga wako unatakiwa urenew! Ushaishiwa! Btw naomba kuja kula matunda ya Soni! Ya aho Msambiazi sosoliso kayakomba yoote!