Kwanza ninashukuru sana kwamba mwenyekiti
Erickb52 uko salama maana
Bishanga alishaanza kuleta kauli za utata kuhusu ripoti nzima ya tume na usalama wako.. kinachonitisha ni usalama wa ripoti yenyewe katika mazingira uliopo hapo
Sisi kwa Sisi Guest House.. Tayari kuna msigano wa chini kwa chini kati ya
Arabela na
YNNAH.. yeyote kati yao anaweza kuhujumu ripoti yenyewe..
manoah amenukuliwa akidai ameshapata ripoti na hilo linazidi kunitia shaka.. naisubiri ripoti ili nijue maamuzi gani yatafuata..
cc:
Baba V..