Yalionikuta sina hamu na nyie wanaume

Usishangae akiwa na mwenzako anakusave Yusufu makaburi ili ukipiga anasema unafanya kazi ya kuyachimba sasa kuna tenda alikuahidi.
 
Utajua mwenyewe. Kama Kazi yako ni kufatilia id ya MTU ambaye hakujui.
Nimekoma naacha leo leo aiseee duh! Ila nilijua behind keyboard kuna bonge moja la zigo kumbe dume daadeki hizi id feki zitatuponza
 
Ukitaka mwanaume wako asicheat, hakikisha unamtolea mahari na unamhudumia (unamlea)
Halafu huyo mwanaume atakuwa anamtii huyo mwanamke, na atakuwa anapika, anasafisha nyumba, anaosha vyombo, anafua au atakuwa anafanya nini
 
Long story short, mwanaume wangu.....
Umefanya makosa mawili makubwa; na yataendelea kukugharimu sana usipoyarekebisha chap!

1. Ku-assume kwamba huyo ni mwanaume wako. Mwanaume ni wako ukiwa naye ndani. Akitoka huyo ni wa wengine...sawasawa tu na nyie wanawake!

2. Kukagua simu ya huyo unayedhani ni mwanaume wako. Simu ya mwanaume kamwe haikaguliwi...na ukiikagua basi uwe na kifua cha kupambana na utakayoyakuta humo!

 
Wewe siyo mzima, una shida ya afya ya akili, huo muda umetoa wapi? my man, my foot! Red flags na bado umooo...
 
Brainless Biaches, kama hawa ndio wanawake mlionao huko kwenye mahusiano ya kudumu, ni bora niendelee kununua tu.
 
nilisema nikiingia nitaingia kama terrorist,, kulilia mahusiano nilimaliza kabisa,,papa bear popote ulipo jiandae 😌
 
Mtu anafumaniwa anakataa katu katu ije kuwa namba tu unaanzaje kukubali ,hujui kukubali ni kuharibu

Note: sisapoti kucheat ni mbaya na inaua
 
Wanaume tuko ladhi tukatwe kidole lakini sio kukubali.

Kuna jamaa alifuniwa akabahatika kusepa Sasa katika kukimbia akaacha shati lake mjuavyo kijijn watu hujuana hata Kwa mashati tu kuwa hili la fln .

Jamaa kuona vile akaenda Hadi kwake asbh na mapema akaamka kwenda kununua lile shati lilikuwa la Yanga.

Akiwa Bado mjini watu wakafika Kwa mke wake wakamuuliza habar za Mme wake akakiri Mme wake kalala hapa na ameondoka asbh hajui kaenda wapi.

Wakamwambia hii shati si mmeo akakubali Hadi akainusa na kuwa hakikishia ni yenyewe.

Muda sio mrefu jamaa huyu hapa kalowana na matope shati la Yanga analo na samaki aina ya kamogo kabeba.

Wakamuuliza hajui Kila kitu na anawashangaa huku anawafukuza kwake mke wake anamwambia lkn hili ni lako akamwambia Mimi ninajua shati langu ni Hili Hilo silijui.

USHAHIDI ukakosekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…