Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Bunge limeahirishwa hadi saa 12 jioni. Nawaona wabunge wengi wamo ukumbini na wengine wametoka nje kusubiri muda uliopangwa
 
Kikao kiahirishwa kwa muda hadi saa kumi na mbili kamili, sababu ni kukosekana kwa nakala za kutosha za kanuni kwa wajumbe wote, aaaa hahahahaaaaa hili bunge hili?
Mkuu, ndo bunge letu hilo
 
kwa mwendo huu tuna haki zote kugomea mashine za EFD. Na hakyamama ntaendelea kukwepa kodi maisha yangu yote.
huu ni ushe#$($*#*$*$*$?$*:
 
Bunge limeshapoteza mwelekeo kilichobaki sasa ni kutukanana, kukejeliana, ikiwezekana hata kupigana kuko njiani.
 
Namwona mwenyyekiti (samahani kuanzia sasa sitamwita hivyo na badala yake ntamwita kificho) anakaribia kufungua kikao muda si mrefu

kwanini usimuite mwenyekiti? naomba ufafanuzi tafadhali
 
Hawa kina OLUOCH na Kina KIMAYA wote wachumia tumbo,hakuna kitu ktk GENGE lililopo dodoma.
 
Sina tumaini lolote juu ya upatikanaji wa katiba yenye manufaa kwa watanzania wote.
 
Kwa hali inayoendelea huko bungeni, nina uhakika mpaka sasa raia wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar wameshagawanywa kwa misingi ya uchama na bado kidogo tu tutaelekea kwenye ukabila maana udini tumeshajuana wabudha na wahindu na washaoline tempo. Kwa kuongezea bunge hili linachochea uhasama miongoni mwetu kwa misingi hiyo niliyoitaja hivyo kupelekea kuanza kuumizana wenyewe kwa wenyewe huku mitaani. Tumwombe Mwenyezi Mungu Mtukufu atuepushie hili balaa na atupunguzie hasira tuliyonayo juu ya uchama, udini, ukabila, nk nk. Amina.
 
Kura ya siri ni lazima liwe na lisiwe lazima Kanuni itamke kura ya siri. Duniani kote kura ya siri ndiyo inayotumika hata kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji. Hata Mhe. Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Wahe. Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wasituletee vurugu zisizofaa hata kidogo. KURA YA SIRI NI LAZIMA.
 
Yaani hili bunge bora livunjwe tu maana hakuna la maana kinachofanyika huko.
 
Back
Top Bottom